- Thread starter
- #1,001
Nimeshindwa kumuelewa hapa. Sheria tu/dresscode hairuhusu.Unavaaje dela ofisini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshindwa kumuelewa hapa. Sheria tu/dresscode hairuhusu.Unavaaje dela ofisini?
Nashukuru sanaHii kauli inaashiria Ubingwa. Hongera sana.
Pili, kitendo cha kusema anaenda kureport mtoto haonekani, ni ishara kuwa yeye pia hakuwa na nia yoyote na wewe ila anachokidai sasa ndio cha muhimu kwake (mtoto),, inaonekana ulimpenda sana na alijua udhaifu wako..
Binadamu huwa wanapenda vitu ambavyo hawana,, so mbele ya safari jitahidi sana kutoonyesha hisia saaaaaana kwa mtu,, ishi na mtu akiwa anajua kuwa leo upo kesho unaweza usiwepo.. ila ukiishi kama vile ndio huna kwa kwenda hayo yatajirudia...
Thank me later.
Akawasha Gari akateleza....
Kuna wanaume vichomi mno jamani Yani huchukilia wanawake ka viummbe nusu visipo kamili na maamuzi na utashi binafsi matokeo Wana ku treat hamnazo eti kisa wao ni wanaume. Nashauri wanawake titaftee wanaume waliotuzidi kila kitu kuanzia dhambi, maturity level ili tu enjoy si kila mwanaume mvaa suruali kweli ni mwanaume aisee.[emoji23][emoji23][emoji23] yani, mi hadi kusali nilipangiwa , nisali kwa style anayotaka yeye. Kuna siku alinivuruga hapo sasa ndo nilijumlisha upuuzi wake wote, aisee niliwaka siku ile na nikampiga block moja matata kabisa. Mtu gani akikuuliza umekula nini ukijibu nimekula ugali, utasikia unakulaje ugali [emoji38][emoji38][emoji38] ungekula yoghurt sijui na oats [emoji23]. Yani hadi msosi unaokula nao anauponda [emoji23]. Anataka ule alichokula yeye hata kama huna uwezo nacho [emoji23][emoji23]. Nikikumbuka nacheka sana [emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
Yaan anaumia mno kwa kumkosa mrembo anayempenda na kumkubali, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiwe limemkuta kakangu kumbe naye ana machungu yake loh. Ingawa huyo dada alikuwa anamprnda kuliko huyu wasasa licha ya kuoa hajamsahau
Mpare wangu hayuko hivi, yaan sometimes huwa nakataa sio mpare, hana ubahili hata kidogo, na yuko real mno. Namkubali hatari.Huyo ni mpare na wapare kwa ubahili wako vizuri
Huwajui watani Zangu majority huwa wabahili Hadi kwa msosi mkuu. Huyo wako ni exceptionalMpare wangu hayuko hivi, yaan sometimes huwa nakataa sio mpare, hana ubahili hata kidogo, na yuko real mno. Namkubali hatari.
Yeye ndo kamfanya asijiamini, read btn the linesKiufupi chanzo cha matatizo yote ni mwanaume kutojiamini
Kama mwanamke hakuheshimu huo moyo wa kumhudumia unatoka wapiHayo mavazi yanahusiana vipi na kuhudumia familia??,kiufupi huyo mwanaume hajiamini hata A kisirani chote anamalizia kwa bibie
Wee ongea nadharia tu, ila walau kwenye ndoa unaliwa kwa limit, ukishakuwa freelancer you become chawoteUnaweza ukawa kwenye ndoa na mabaharia wanakukula vile vile, hainaga formula hiyo
Yes najua wapare ni bahili pro max, ila huyu wangu hapana kwa kweli, had mwenyewe sometimes huwa namkatalia sio mpare, sijui labda hajaishi sana upareni ndo sababu.Huwajui watani Zangu majority huwa wabahili Hadi kwa msosi mkuu. Huyo wako ni exceptional
No, nimeshea tu mjue I personally went through the same situation. Ni tukio la more that 20 yrs ago, na wala sikujuta coz I decided myself to give up.[emoji23][emoji23]jiwe limemkuta kakangu kumbe naye ana machungu yake loh. Ingawa huyo dada alikuwa anamprnda kuliko huyu wasasa licha ya kuoa hajamsahau
Mmh mliishia wapi na huyo jamaa?Some men are controlling and manipulative. They are insane [emoji35]. Niliwahi kuwa na mtu ambaye alikua anataka hadi profile picture ya kwenye Watsap niweke anayotaka yeye [emoji23] nikiweka nnayopenda mimi ananiambia itoe [emoji38][emoji38][emoji38]. Utasikia hiyo picha kwenye dp toa weka hii [emoji23][emoji23] ukiuliza sababu hana, ni vile tu anataka ufanye anachotaka yeye. Yani simu ninunue mimi, bundle langu lakini display photo anipangie yeye [emoji23][emoji23]. Wanaume hamuendi mbinguni nawaambia [emoji3][emoji3]
Mshiki nipigie pande,nijiweke hapo vibenten vitamchafua tu full kujiramba lipsHuyo wako kiboko...tafuta kaben ten mkuu, utakubalije kufa na migenyee hivo khaaa[emoji848]
[emoji16][emoji16]ni nomaKaribu sana dear 😀 Jamaa linajidai lina wivu kumbe liongo wakati yeye anajivinjari na vimwana mimi nakumbatia mto. Sasa natafuta mzee mwenzangu
Best haya mambo ya Dildo nayo ni kazi kweli kweli ila kuvumilia hayo mateso jaman ni BIG NOOOOOYani Mimi sipendi kero jamani za mtu mzima mwenzangu hata hamu sitakuwa nayo heri ya dildo tu, na upweke sipati na tune my mindsets na kufanya a lot of activities za kijamii na mazoezi ndo furaha yangu
umenena kweli tupuKutii kunakuja baada ya kupendwa, haya mambo yanaenda sambamba. Mkishaona mke ana elimu mnatumia hicho kigezo kuona hana utii. Muwe mnaoa wanawake ambao hawana elimu Ili msije pata shida baadae.
nimecheka kwa nguvu mie, anakuuliza umekula nini wakati hata hajakupa pockect money,,hahaahahahahhaha binadamu ni kazi kweli kweli[emoji23][emoji23][emoji23] yani, mi hadi kusali nilipangiwa , nisali kwa style anayotaka yeye. Kuna siku alinivuruga hapo sasa ndo nilijumlisha upuuzi wake wote, aisee niliwaka siku ile na nikampiga block moja matata kabisa. Mtu gani akikuuliza umekula nini ukijibu nimekula ugali, utasikia unakulaje ugali [emoji38][emoji38][emoji38] ungekula yoghurt sijui na oats [emoji23]. Yani hadi msosi unaokula nao anauponda [emoji23]. Anataka ule alichokula yeye hata kama huna uwezo nacho [emoji23][emoji23]. Nikikumbuka nacheka sana [emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
Hela sio shida niweke hapoUna hela best?