Am looking for a white girl/mzungu for relationship/marriage

Am looking for a white girl/mzungu for relationship/marriage

Status
Not open for further replies.
Awe na 19-25 age
Kasoma ajasoma, educated or not it’s ok
Wa nchi yeyote ilee hata aliyekulia tanzania/any country
Kuhusu muonekano sijali urefu sijui ufupi, shape i don’t care

Kuhusu uchumi wangu tutaongea/ about my economic we will discuss

Am from MTANZANIA
height 6.67 urefu 6.67 , color brown- mengine tukikutana tutaonana vizur

Vingine tutaongea- others things will discuss

Dini pia tutajadiliana /Religion will discuss

Magonjwa tutapima/ health we gonna check

Lugha sio mjuzi sanaa so naendelea kujifunza misamiati mingi mingi ili niwe vizur zaid na hata yeye kama aongei kingereza anaongea lugha za kwao mf kibrazil,kifaransa nitajifunza pia twende sawa

Nimeandika kiswahili kwa kuwa najua wazungu humu wa kupapasa/wachache so kama mtu ana best yake mzungu na mwenye uhitaji naomba connection tafadhali hata kama hayupo Tanzania nita try my best kukutana naye na kukubaliana tunaanzia wapi!!

Nikipata nitawaletea mrejesho/ nitahakikisha nampata

Nimekuja kwenu kwa unyenyekevu wote, asanteni
Mwafrika kutoka bara la afrika ni ni ngumu sana kuishi na mzungu
 
Ingekuwa unahitaji mchina....

Ningekuelekeza mahala pale temeke....ungempata.

Ingekuwa unahitaji mwarabu...

Ningekuelekeza mahala pale kayenze tabora, nywele hadi mgongoni...mixer machacha miguuni!.... Lakini ni wazuri na warembo haswa! Wazuri asilia.....maisha tu yamewapiga..

Ila kwa swala lako...mzungu....hao watu wanajithamini sana na kujitambua....

Ni ngumu sana kukuta damu yao ikizagaa ovyo kama wachina na Waarabu.
mkuu nielekeze chimbo la wachina
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom