Am not materialistic but I still can't keep a man

Attitude, girl..! work on your attitude.

Really?you think it's my attitude..
Nipe mfano mmoja mshenga,ni wapi humu nilicomment ukaona nina attitude kwasababu inawezekana ni kweli... be honest
 
Asante Dada angu,I have a feeling watu wachache humu wamenielewa including you...
Kuna vitu natakiwa nibadilishe but still I won't accept anything less for the sake of men
Wacha niendelee na maisha yangu love itanikuta mbele ya safari

...sasa juu ya nini unapoteza muda wa watu kuomba ushauri wakati uko 'firm' kwenye msimamo wako ambao dhahiri ndio chanzo cha tatizo lako!
 
You said better in one sentence kile nilichojaribu kukisema kwa posts Godknowshowmany

Hahaaaaa. Haya we. Afu nikikuita kwenye sredi zangu unanipotezea eeeeh?
 
Really?you think it's my attitude..
Nipe mfano mmoja mshenga,ni wapi humu nilicomment ukaona nina attitude kwasababu inawezekana ni kweli... be honest

Hapana, sio kwa sababu ya comments zako humu. Umesema hukai na bf mda mrefu na sababu hasa hujazijua. Na mimi nadhani kabisa ujitizame hapo kwenye attitude yako tu..kuna mengi yanahusika hapo. Jiangalie, jitafakari hapo..
Pia impression unayowapa siku za mwanzo, je unajiweka hivyo? Ndivyo ulivyo siku zote? Au baada ya mda unabadilika?
 
...sasa juu ya nini unapoteza muda wa watu kuomba ushauri wakati uko 'firm' kwenye msimamo wako ambao dhahiri ndio chanzo cha tatizo lako!
Nahisi hujaelewa.

Anachosema ni kwamba she needs a man, yes, but sio mwanaume yeyote tu.
 
...sasa juu ya nini unapoteza muda wa watu kuomba ushauri wakati uko 'firm' kwenye msimamo wako ambao dhahiri ndio chanzo cha tatizo lako!

Exactly Riwa. Nani aishi na mtu mwenye misimamo asiyetaka ku "compromise"
 
Last edited by a moderator:

Asante...toka mwanzo nimekuelewa,ila kila kitu kina limit yake, kuna mambo nitayafanyia kazi
 
Hahaaaaa. Haya we. Afu nikikuita kwenye sredi zangu unanipotezea eeeeh?

Nisamehe bure, yaani mara nyingi natumia simu na old version ya JF mobile so sioni notifications. So nikija tumia laptop basi kila kitu kinakuwa outdated. Nitakupm my number atleast utanistua kwa watsup au text
 
...sasa juu ya nini unapoteza muda wa watu kuomba ushauri wakati uko 'firm' kwenye msimamo wako ambao dhahiri ndio chanzo cha tatizo lako!

Hata mimi nimeshangaa.....
 
Nisamehe bure, yaani mara nyingi natumia simu na old version ya JF mobile so sioni notifications. So nikija tumia laptop basi kila kitu kinakuwa outdated. Nitakupm my number atleast utanistua kwa watsup au text

Na mimi tafazali....
 
Yuko desperate: umri umeenda(29+), ana/anatarajia kupata MD,yuko financially stable, ....hizi ni viungo murua kwa mwanamke kubakia single, single girl sensu KLyin

Haha,is it a crime ukiwa 29+,financially stable and single???
Kuna shida gani hebu niambie mkuu
 
Nisamehe bure, yaani mara nyingi natumia simu na old version ya JF mobile so sioni notifications. So nikija tumia laptop basi kila kitu kinakuwa outdated. Nitakupm my number atleast utanistua kwa watsup au text

I understand honey no qualms about it. Simu miyeyusho sana sometimes.
 
Thought i'm alone with relationships problems.
You don't have any problem, you've had had enough time for yourself.
Work on your drawback hindering you from keeping your man.
 
Nimekuwa najikuta hivyo it has nothing to do with education...
Hakuna mtu huwa ananielewa mwanzoni lakini baadae wananizoea...head high in my problems and such things simaanishi dharau labda ume misinterprete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…