atoto monday ntakupitia twende kwa ras simba lkn mbona kiinglishi alichotumia BRENDA ni simple sana hakina mavokaburali magumu kama ya Nyani Ngabu
Babu we, I beg to differ.
Haimaanishi eti kisa nimesoma na ni mpweke so nimchukue tu mwanaume yeyote. We all have standarda honey
brenda18, this is a very useful post.
...sasa juu ya nini unapoteza muda wa watu kuomba ushauri wakati uko 'firm' kwenye msimamo wako ambao dhahiri ndio chanzo cha tatizo lako!
Hapana, sio kwa sababu ya comments zako humu. Umesema hukai na bf mda mrefu na sababu hasa hujazijua. Na mimi nadhani kabisa ujitizame hapo kwenye attitude yako tu..kuna mengi yanahusika hapo. Jiangalie, jitafakari hapo..
Pia impression unayowapa siku za mwanzo, je unajiweka hivyo? Ndivyo ulivyo siku zote? Au baada ya mda unabadilika?
Nina mengi ya kusema mabaya kuliko mazuri yake..lakini kiukweli he was a good man na mvumilivu,I might have pushed him away..through this post am starting to think maybe there are things abt me that should change....thank you
Sasa huyo shosti wako (mie nna mashosti hadi wabibi. I mingle with anything and anyone and just enjoy and learn from each of them. Kuna mwanaume ambae atakereka na mie ila paw wangu anamjua kichaa wake). Sasa huyo shosti wako ana tatizo nililomuasa huyu bibie. Hebu soma hapa chini. Hakuna kitu kibaya kama kubadilika ili upate ndoa, kwa sababu utarudia tabia siku utakapopata disappointment ndogo tu hata ya mume kuchelewa nyumbani. Change is for you, for very selfish reasons. Ukibadilika kwa ajili yako mwenyewe hata uwe disappointed vipi still utaendelea kujisikia vizuri.Sasa my dear, atadevelop vipia better her bila kubadilika.
Kuna mama mmoja shosti wangu (imagine siku hizi nina mashosti) she is a very strong woman na ndoa yake ina shida mno, baada ya kuongea naye looks like mahusiano yake yote yamekuwa hivyo. Mumewe is very generous on the outside lkn amedevelop hatrage kwa mkewe isiyoelezeka. Baada ya kumjua na kuangalia hali nimekuja kugundua she is a huge part of the problem. I wish ningepata version ya mume wake ingenifunua zaidi. So kidogo kidogo I am working on her ingawa ni ngumu sana. Character ina play part kubwa sana kwenye mahusiano.
[MENTION=171429]. Usibadilike kwa ajili ya mtu, develop a better version for yourself. Have fun, dont be desperate and love will come and find you.
brenda18 I used to think that u are in your early 20s. Anyway, being pretty, wife material, unmaterialistic etc will never keep a man, unless the man wants to be kept. May God see you through this
Attitude, girl..! work on your attitude.
I hope you are no more a bad boy[emoji87] [emoji87] [emoji87]. Don't u ever force a good girl to walk away from you, keep her. Good girls are on the verge of extinctionsome people want to stay so bad!! but we push them away in one way or another....
I hope you are no more a bad boy[emoji87] [emoji87] [emoji87]. Don't u ever force a good girl to walk away from you, keep her. Good girls are on the verge of extinction
Teh teh, sina namna nyingine mkuu, aje pm tumalizane
Good evening,
Am in my late 20s about completing my MMED. Ever since I got out of my first relationship with my first and d only man I have ever loved I have not been able to keep other men coming my way.
Am not really a bad person, am not even materialistic because even as an undergraduate I was working. No man I have ever dated that doesn ' t not wish to settle down with me but one thing will lead to another and there will be change in plan.
In fact am losing hope of ever getting married may be I should just get pregnant for my first love and be a single mother. Right now am single and I have been for more than a year. Please do u have any advice for me?
Thanks
i dont know when i'll stop pushing them away!! well...may be now since i've realized im the problem!
ha ha ha hahahah ahakwahiyo humu uwanjani bila kingreza ndio basi tena!! Mweeeeh!!! Ngoja nilewe kwanza.
I'm a male version of you brenda18 . I have pushed away more than five 'wife materials'. I'm worried i will be single forever!