Am not materialistic but I still can't keep a man

brenda18 bado una muda wa kupata mwenza hiyo ya kuzaa mtoto embu fanya kama last option.... muhimu usiwe mtu wa kudefence sana like atanicheat any time.... wewe jiachie uwezavyo ukiona hapa umeingia chaka fanya maamuzi ya haraka ya kustep out... be a lady or laddish characters wanaume wanapenda dont be like them.... halafu pia usionyeshe kwamaba unauhitaji wa ndoa.. ndoa iwe kitu kije chenyewe .. ukiweka ndoa mbele lazima utaona hakuna mwanaume anayeweza kukuhandle just have funny ndoa itakuja...

halafu nikupe siri wanawake wanaokomolia mahusiano yaishie kwenye ndoa asilimia kubwa hawaolewi why mnajisahahu na kuanza kumcntrol mwanaume na faking nyingi sana na ukiolewa utakuja gundua umeolewa na wrong person utajutaje mamy.....
 
Last edited by a moderator:
Asante,umenielewa sijajua kwanini education imekua tabu hapa
There is something about educated ladies irritate most men,I can't understand

That attitude u guys attain when "educated" ndio inawa irritate men....wakati mkiwa level za kawaida za elimu mnakua "real u"...✌🏿️
 
brenda18 lemme make a summary of u, nilipokosea utaniambia. I mean no offence though

1. You are of a strong character. You simply stand on what you believe, and u can't easily be changed by someone. U need a stronger man than u to control you. A weak man will never handle you no matter how right he is. U were simply born strong

2. You are not someone who can easily compromise. It's either Yes or No full stop, no blah blah

3. Not a submissive person. You always stand on your ground.. you will never a lose a battle and you don't take shit from anyone. Whoever mess up with you is finished

4. You are too independent to the extent that u feel like eve if a man leaves you, you will have nothing to lose. You can afford to have everything you wish on your own, without a man. You got cash, brain and beauty (except love of course), nani atakubabaisha

OMG!95% of what you said is true signora
Psychologist or something..??
 
No offense is taken
 
Last edited by a moderator:
They say people with first born Triats have leadership behavior and it's very hard to control them even in family level

Are you a first born? BRENDA 18

Yes,you got it..I'm
 
Last edited by a moderator:
dah am perfectionist type... Ts so hard to date someone, I always loose taste on people certain strains& most people who got feelings for me I don't love them back...
but one guy whom v got feelings for we are not even dating he loves me yeah but something is pushing us back do not even know what that is.
Start dating with me, am also a perfectionist type, tutashinda tunakosoana usiku kucha!
 
I'm a male version of you brenda18 . I have pushed away more than five 'wife materials'. I'm worried i will be single forever!

I believe when the right time comes you won't push her,they simply were not for you. You had your valid reasons while pushing them away
Don't let your worries make decisions for you
 
That attitude u guys attain when "educated" ndio inawa irritate men....wakati mkiwa level za kawaida za elimu mnakua "real u"...✌🏿️

Hahah itakuwa kuna mtu ameshawahi kukukera na attitude yake just because she is educated
Its absurd,why should education change someone's personality considering that everyone is educated currently
Siwezi kuwa fake,life is too short for dramas. I keep it real✌✌
 
brenda18 bado una muda wa kupata mwenza hiyo ya kuzaa mtoto embu fanya kama last option.... muhimu usiwe mtu wa kudefence sana like atanicheat any time.... wewe jiachie uwezavyo ukiona hapa umeingia chaka fanya maamuzi ya haraka ya kustep out... be a lady or laddish characters wanaume wanapenda dont be like them.... halafu pia usionyeshe kwamaba unauhitaji wa ndoa.. ndoa iwe kitu kije chenyewe .. ukiweka ndoa mbele lazima utaona hakuna mwanaume anayeweza kukuhandle just have funny ndoa itakuja...

halafu nikupe siri wanawake wanaokomolia mahusiano yaishie kwenye ndoa asilimia kubwa hawaolewi why mnajisahahu na kuanza kumcntrol mwanaume na faking nyingi sana na ukiolewa utakuja gundua umeolewa na wrong person utajutaje mamy.....

Asante my dear miss chagga nimekuelewa

Naomba nikuulize swali it's out of topic lakini nimeliona hapo kwenye comment yako
Hivi ni vibaya kama upo kwenye uhusiano na mtu ukataka kujua kama utaishia kwenye ndoa??naona ni muhimu kujua usije kuwa unapoteza mda,hii issue ya kusema have fun na ndoa inakuja inakukuta in 30's na jamaa anaoa mwingine
Mimi hupenda kujua mapema mwanzo wa relationship plan zake ni nini?is that bad???kuna watu wanatuita desperate simply ukitaka kujua where your relationship is going.......wat do u say abt that?
 
Last edited by a moderator:
I believe when the right time comes you won't push her,they simply were not for you. You had your valid reasons while pushing them away
Don't let your worries make decisions for you

There u go doll. "Sometimes" some people leaves you, not because you are full of flaws, but because those people are perfect for someone else.. They are not perfect for you. Whoever is perfect for you, will complement you". She will accept you for who you are. She is someone who will always look past your flaws

Ndo maana kuna watu tunawajua kabisa ni ngumu kuishi nao kutokana na maumbile, tabia etc. But still unakuta kuna watu wamemanage kuishi na Hao watu for years bila kuchoka. Yani watatibuana weee hadi unadhani wataachana but kesho haoo wapo pamoja. They are your perfect shoe size

C.c RRONDO
 
Last edited by a moderator:
brenda18 nimetafsiriwa subiri nijipange nije nikushauri,
Ila sijui hata nakushauri nini wakati hata mie nina tatizo kama lako!! Ngoja kwanza nisome comments za watu nami nijifunze maana huu moyo umenigomea kabisaaaaa kupenda tena.
 
Last edited by a moderator:
Asante my dear miss chagga nimekuelewa

Naomba nikuulize swali it's out of topic lakini nimeliona hapo kwenye comment yako
Hivi ni vibaya kama upo kwenye uhusiano na mtu ukataka kujua kama utaishia kwenye ndoa??naona ni muhimu kujua usije kuwa unapoteza mda,hii issue ya kusema have fun na ndoa inakuja inakukuta in 30's na jamaa anaoa mwingine
Mimi hupenda kujua mapema mwanzo wa relationship plan zake ni nini?is that bad???kuna watu wanatuita desperate simply ukitaka kujua where your relationship is going.......wat do u say abt that?
kuuliza ni kutokana na mwanaume uliye naye yukoje kwa mfano wewe una 28 ukiwa na mwanaume mwenye 30 ningumu kuwa na future na ndoa lakini ukiwa na mwanaume anaye elekea 35 unweza uliza na hata yeye utakuta nazungumzia hilo... age matter na pia kuna wanaume ukiongelea swala la ndoa anahisi upo desperate na unataka kuingia kwenye ndoa kwa nguvu watakusumbua....
 
Asante my dear miss chagga nimekuelewa

Naomba nikuulize swali it's out of topic lakini nimeliona hapo kwenye comment yako
Hivi ni vibaya kama upo kwenye uhusiano na mtu ukataka kujua kama utaishia kwenye ndoa??naona ni muhimu kujua usije kuwa unapoteza mda,hii issue ya kusema have fun na ndoa inakuja inakukuta in 30's na jamaa anaoa mwingine
Mimi hupenda kujua mapema mwanzo wa relationship plan zake ni nini?is that bad???kuna watu wanatuita desperate simply ukitaka kujua where your relationship is going.......wat do u say abt that?

yaani wiki moja ya uhusiano unataka kujua mambo ya ndoa??
unadhani kuna mtu ataendelea kukufuatilia?
kuna vitu vipo na vinatokwa naturally hata kama unaforce lakini sio kwa kuonesha unahitaji saana mpaka kuboa mtu anaamua kusepa.
usionekane kama una dhiki ya ndoa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom