Am really tired to be alone

Am really tired to be alone

Siwezi kumkosoa Mungu, naweza hitaji mwenye vigezo lakini hasiwe baraka katika ndoa, afterall hakuna binadamu aliyekamilika ila wote ni sawa mbele za Mungu,
Great...on ma way to pm[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Pole sana mkuu,.. Ila usikatishwe tamaa na wanawake wa umu kama wakikupa negative wengi umu ni vijeba,..wengin vijakazi,..ila usiwe mpweke mkuu,binadamu hajaumbwa kua mpweke,you deserve to be happy, kwa iyo usichoke,kila la heri,.. Mungu akupe haja la moyo wako,
 
Ahsante sana mkuu kwa maneno yako ya faraja na yenye kutia moyo, BE BLESSED
 
Hahaa umekumbuka nini??
Cc Inna
Nikiwa form. two alitokea mwenzetu mmoja alipata kibendi, sasa nikawa nasikia form wakiwa wanatamka hilo neno ila sikujua maana yake mpaka pale ailipofukuzwa shule kwa ujauzito ndio nikajua kibendi ni kitu gani
 
Vijana wa siku hizi bwana, nyie wa kiume mnatafuta wa kike na wa kike nao wanatafuta wa kiume na wote mko hapahapa JF, kwanini mnashindwa kuwasiliana!
 
Iam Tanzaniam male with 30 years, am here looking for a soul mate, a girl with matured age na anayejua what is life, ata hasipokuwa na kazi ili mradi awe serious naimani tukiwa wawili maisha yataenda. Mie ni mrefu maji ya kunde, tafadhali sipo kwa ajili ya kutafuta msichana anayejiuza bali wa kuishi nae kama ikimpendeza Mungu, kama unakuja kwa nia tofauti naomba usisumbue muda wako
 
Hahahahaha haya kina miss natafuta na wengineo jitokezeni
 
Back
Top Bottom