joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
saadeque, tulia uwe unasoma mukhtadha mzima wa habari yenyewe ujue nilitaja hao kwa lengo gani, huyo MK254 niliyemjibu wmeelewa vizuri tu, na unamuona hata Tony254 alivyo uliza swali lake baada ya kuelewa nilichokuwa ninakimaanisha, bado hujaelewa kabisa, kwa kifupi sana nitakueleza lengo langu kwa MK254Kwani sio wewe uliyesema hatufai kutumia dollars kwa kisingizio cha kua shillingi ya tz na ke ina mapungufu....mbona unaruka mchana peupe?umeingiza mpaka zimbabwe mahali kama sijakosea
Yeye alijibu kwamba sababu za Kenya kutumia zaidi kiingereza kuliko kiswahili ni kwa sababu Kiswahili kina mapungufu mengi sana kuliko kiingereza, pamoja na kwamba Kiswahili ndiyo lugha rasmi ya taifa la Kenya lakini inamapungufu mengi kwa hiyo wameamua kutumia kizungu.
Baada ya jibu hilo ndiyo nikamjibu kwa kumpa mfano kwamba, japo pesa zetu hizi za Kenya na Tanzania kuwa na mapungufu dhidi ya dollar ya Marekani, lakini sio busara kuacha kutumia pesa zetu na kuruhusu matumizi ya pesa za kigeni, hicho ndicho nilichotaka kukisema, wewe umeelewa nje kabisa ya lengo langu
Sent using Jamii Forums mobile app