Am shook: for Tanzanians who dont understand simple lingua

Me sijaelewa.. For the records: Am Tanzanian[emoji41]

Ugiligili
 
tofauti ya beef na ugomvi nini? huna akili ww
JF imevamiwa na Mandondocha sasa wewe mimi nimezungumzia kupunguza mzunguko wewe unakuja kuleta tafsiri za neno.

Au akili yako inakutuma kitu ukikitafsri ndiyo unapunguza mzunguko?

Ndondocha mkubwa wewe
 
  • Thanks
Reactions: Oii

usifikiri sisi wajinga ww...hata kama hatuzingumzi kiswahili sana, tunaielewa nje kwa ndani...bongolala ww...eti si beef ni ugomvi...lol! punguani mkubwa ww...kadanganye bongolala wenzako kule Tandale...
 
Bob ubongo wako umejaza makaratasi au?

Mbona unang'ang'ania vitu hata sijaviandika?

Ndondocha unazingua ujue
 
How is this thread 5 pages i posted then went to sleep namka sai napata ni 5 pages .....waTZ mna issue za inferiority complex

Sent using Jamii Forums mobile app
Sam umekuwaje! Ulitaka ulipoacha uzi uukute hapo hapo? Kama hayo ndo matakwa yako basi ni vyema ukawasiliana na mods waufunge uzi wako pale unapotoka na kuufungua pale unaporudi!

BTW. kwako inaweza ikawa 5pages, kwa mwingine ikawa 1page, sijui kama unalifaham hilo!

Nionavyo ww umeacha default kwenye idadi ya posts kwa ukurasa, huku mwingine akiamua iwe 50 posts kwa ukurasa mmoja au zaidi![emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Halafu hili suala la inferiority complex limewakaa sana wakenya, kitendo cha watu kuchangia uzi tu ushaita sijui vitu gani tu!
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kiswahili ni lugha ya taifa Kenya...Kiingreza ni lugha rasmi...ni vzr kuelewa lugha zote mbili...ila mtz hata sentensi moja ya kiingereza hawezi....wanajifanya mabingwa wa Kiswahili ila hawawezi hata wakatofautisha kati ya R na L...kila nikimsikia mbongo akizungumza yaani huwa nacheka sana haswa akijaribu kuzungumza Kimombo...

Wewe umeona mtz akishindwa kutofautisha kati ya R na L, mimi huwa nawaona wakenya wakishindwa kutofautisha kati na NG na NG'

Na kama unajua vizuri masuala haya hayawezi kukuumiza kichwa maana ni kutokana na ndimi zetu. Ni sawa na mrusi umwambie atofautishe kati ya hizo R na L, hatakaa azitofautishe kamwe! Lakini hiyo haiwaondolei weledi kwenye lugha!
 
Sam umekuwaje! Ulitaka ulipoacha uzi uukute hapo hapo? Kama hayo ndo matakwa yako basi ni vyema ukawasiliana na mods waufunge uzi wako pale unapotoka na kuufungua pale unaporudi!

BTW. kwako inaweza ikawa 5pages, kwa mwingine ikawa 1page, sijui kama unalifaham hilo!

Nionavyo ww umeacha default kwenye idadi ya posts kwa ukurasa, huku mwingine akiamua iwe 50 posts kwa ukurasa mmoja au zaidi![emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Halafu hili suala la inferiority complex limewakaa sana wakenya, kitendo cha watu kuchangia uzi tu ushaita sijui vitu gani tu!
Ninahisi samu anashida ya kisaikolojia, amekuwa mtu mwenye hasira, anachangia kwa kutusi watu, mara nyingi anatanguliza negativity, he is not secure person at all, yeye wakati wote ametanguliza kushindana badala ya kulumbana kwa hoja, huu uzi aliuanzisha yeye, na watu wamechangia tena very positively, fuatilia uone jinsi watu walivyotoa michango yao kwa busara kabisa, hata wengine walio kosea au kuelewa tofauti waliposahihishwa walielewa na kukiri, lakushanga alipoamka huyo Samm na kukuta watu wamechangia kwa wingi yeye akaja na hilo la inferiority complex, kwa wale waliopitia na kusoma Psycology ni rahisi sana kumuelewa huyu ni mtu wa aina gani, tuendeleeni kumvumilia taratibu atajirekebisha.

Uko sahihi, hata mimi niliwahi kumwambia hiki kitu, kuwa siku za hivi karibuni amekuwa anawaka sana!

Nahisi vuguvugu la uchaguzi linaweza kuwa limemuathiri kwa kiwango kikubwa!

Naamini baada ya uchaguzi atarudi kuwa sam tuliyemzoea!
 
Umejieleza vizuri sana, kama ambavyo pesa zetu, yaani shilingi ya Kenya na ile ya Tanzania zilivyo na mapungufu mbele ya dolla ya Kimarekani, katika mazingira maalumu tu, ndiyo inapaswa kufanya miamala yetu kwa kutumia pesa nyingine, hasa miamala ya kiserikali, kwa mfano, haiwezikani wizara, au hata wewe mwenyewe nyumbani kwako na familia yako upange bajeti yenu kwa kutumia dola ya marekani...sukari kilogram moja dola ngapi?, unamuuliza mwanao, hivi utaeleweka kweli?.
Tatizo linakuwa kubwa zaidi pale wizara za serikali zinapotumia dollar kwa matumizi yake ya manunuzi ya ndani ya nchi kwa kisingizio kwamba shilingi zetu zina mapungufu, ama zinashuka dhamani kwa haraka sana, au kwa sababu yoyote ile, serikali ikiamua kufanya hivyo inajimaliza yenyewe kwa kuidhohofisha pesa yake yenyewe na wananchi kutoithamini pesa yao hivyo kuongezeka kwa matumizi ya pesa za nje kuliko ile ya ndani. inakubalika kupanga bajeti kwa kutumia pesa za nje katika baadhi ya miradi, hasa inayohusisha nchi za nje, kama vile miradi inayofadhiliwa na wahisani wa nje na mingineyo michache.

Lugha ya kiswahili inajitosheleza kwa zaidi ya 99%, kuendesha shughuli za ndani zote za kiserikali, kama mahakamani, bungeni na hutuba za viongozi kuwahutubia wananchi, kuendesha ibada na mambo yote ya ndani ya nchi, kama tufanyavyo Tanzania, ila katika mambo ya kitaalamu ni kweli kuna mapungufu, japo sio mapungufu ya maneno ila bado maneno ya kitaalamu mengi hayajulikani kwa watu, hivyo haileti maana kuyatumia iwapo yatashindwa kufikisha ujumbe uliokusudiwa.

Serikali yoyote ile inajukumu la kuilinda pesa yake na kusisitiza matumizi ya pesa yake kwa matumizi ya ndani kwa kuonyesha mfano kwa wananchi wake, kwa kufanya miamala yake kwa kutumia pesa yake, sio kwa kusema tu kwamba pesa ya nchi yetu rasmi ni Shilingi lakini yenyewe inalipa mishaara ya wafanyakazi wake interms of $, ndivyo inavyofanya serikali ya Kenya kwenye suala la Lugha, inajinasibu kwamba lugha ya taifa ni kiswahili, lakini shughuli zote za serikali zinaendeshwa kwa kiingereza, matokeo yake Kiswahili Kenya kinazidi kupoteza thamani yake kama vile Dollar ya Zimbabwe inavyopoteza thamani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante kwa maelezo yako, ila sikupataa muda wa kukujibu maana nimebanwa sana na shughuli za hapa na pale.
Mfano uliotolea wa sarafu hauendani kabisa na masuala ya lugha, inafaa ikuingie kwamba Kingereza ni lugha ya dunia na hamna jinsi unaweza kukikwepa. Ndio kinaunganisha mataifa mengi hususan wawekezaji wote wanapokuja kwetu huku lazima watumie Kingereza, na usipokua makini nacho ndio unaishia kutia saini mikataba inayowafunga miaka yote na kuliwa kwenye makinikia na raslimali zingine.

Mimi nimewapokea wataalam, wahandisi kutokea Ulaya nikiwa hata huko Bongo ili kuwatembeza kwenye miradi kadhaa, unakuta Watanzania wengi wanateseka sana likija suala la kujieleza kwenye baadhi ya hivi vikao. Mtanzania anakua na mengi ya kutaka kusema lakini Kingereza kinamkosesha amani anaishia kutetereka na kuyumba yumba na kutojiamini.

Ili ufanikishe matumizi ya lugha, lazima uwe unaitumia mara kwa mara. Haiwezekani ukakosa kujipa ujuzi wa matumizi ya lugha fulani halafu utegemee ufanisi ndani yake. Mara nyingi Watanzania wengi wakishindwa na Kingereza wao huishia kujiliwaza na kauli za 'sizitaki mbichi'...ooohh Kingereza ni lugha ya mkoloni, ooh wanao ongea kingereza ni watumwa....

Sisi Wakenya tunatumia lugha zote, kwanza tunapea kipau mbele lugha zetu za asili, mimi hapa Kikikuyu huwa nakiongea mpaka basi maana ndio lugha yangu ya asili. Halafu lugha zingine kama Kiswahili na Kingereza zinakua za kuniunganisha na wadau nje ya jamii yangu. Hata hivyo ninahakikisha naboresha uwezo wangu wa kuongea Kiswahili na Kingereza kwa kuzitumia mara kwa mara. Siwezi nikasusia moja kisa sio ya kwetu, umuhimu wa lugha ni kuwasiliana, na ikitokea kuna taarifa nahisi nikizieleza kwa kingereza nitafanikiwa vizuri, basi moja kwa moja naingia kwenye ung'eng'e.

Nchi zetu hizi bado tunaagiza sindano na bidhaa muhimu, hatuwezi kuwatunishia misuli watu kama Wachina ambao mifumo yao walianza kuiboresha miaka 500 iliyopita, yeye anaweza kutumia lugha yake kwa kila kitu bila kuchakachua.

Hao hao Wachina wanahangaika kujifunza Kingereza ili waweze kunufaika nje ya mipaka yao. Binafsi hapa kuna bidhaa nimeagiza kutoka Uhispania, Uchina, Urusi, na hata Marekani na wote hao imebidi Kingereza kitumike neno kwa neno. Wengine tunapigiana kwenye Skype na wanapambana sana kuongea Kingereza.
Kuna baadhi ya Watanzania wameshtukia umuhimu wa Kingereza na wanakitumia muda mwingi ili kuboresha uwezo wao, wengine bado wamefumba macho na kujiliwaza kwamba ni lugha ya mkoloni.
Kiswahili hoyee, nakipenda tena sana, lakini siwezi kujifungia ndani nacho, lazima zingine zitumike maana dunia hii ni kijiji.
 
Wewe bwana MK254 acha kukimbia ukweli wa mambo, nani amekuambia watanzania hatushughuliki kujifunza kiingereza?, lakini ni lugha yetu ya pili kama ilivyo Kenya, umuhimu wa kwanza lazima uwe kwenye lugha yako ya Taifa, dunia nzima ipo hivyo, huko china unakokutaja mara kwa mara, shughuli zote za kiserikali zinafanyika kwa kichina, ila wanajifunza kiingereza kwa ajili ya kufanya biashara na kuwasiliana na dunia, ukiondoa Kenya hapa duniani, sijasikia nchi yoyote ile inayoendesha shughuli zake za kitaifa kwa kutumia lugha ambayo sio lugha yake ya taifa rasmi, labda nitajie mwenzangu ni nchi ipi kama unaijua.

Kuhusu mikataba, karibu mikataba yote hiyo watu waliohusika kuisaini ni wasomi wa hali ya juu na wengi ama ni maprofessor au wana PhD na wamesomea huko huko ulaya na Marekani, kwa hiyo kigezo cha Lugha sio sababu, sababu kubwa ni uzembe na rushwa, sasa kama ni lugha mbona hizi kamati zinazochunguza hiyo mikataba zinaelewa vizuri hiyo mikataba na kugundua makosa, tena wajumbe wengi wala sio wasomi wala wataalamu.
Kuhusu nchi kupigwa, wewe unajua fika kwamba kati ya Kenya na Tanzania, Kenya ndiyo inaibiwa zaidi kuliko Tanzania kwa kupitia rushwa iliyokithiri, kwa hapa Africa Nigeria inaongoza kwa upotevu mkubwa wa Pesa za nchi ikifuatiwa na Kenya, sababu kubwa ni rushwa wala sio kutojua kiingereza.
Ninachokisema hapa ni kwamba, Kenya kama imetangaza Kiswahili ni lugha yake ya taifa, sasa kwanini shughuli za serikali ziendeshwe kwa lugha ambayo sio ya taifa?, kwani kuna ubaya gani Kukifanya kiingereza kuwa ndiyo Lugha ya Taifa kwasababu ndiyo munayoijua vizuri, ndiyo munayoipenda na ndiyo mnayoithamini kuliko Kiswahili, mbona Uganda Lugha yao ya Taifa ni kiingereza na hakuna mtu anawasema?

Mimi pia ninajua vizuri tu lugha ya kabila langu, tena ninajua vizuri kifaransa na kiingereza, lakini ninatumia lugha hizi pale tu ninapozihitaji, ila kiswahili ninakitumia kwa zaidi ya 90% kwa sababu ndiyo lugha yangu ya taifa na mimi ninaishi Tanzania.

Katika hili la Lugha, Kenya inajichanganya sana, we can simply declare that Kenya is a confused country as far as language is concern.

Naomba kuwakilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Indeed Kenya is confused as well as her citizens. Lugha ya taifa lao ni Swahili lakini masuala yao ya serikali hadi bungeni ambapo hapahitaji Swahili ya kitaaluma, wanatumia English, kwenye mikutano ya Siasa utakuta wanaongea kilugha na some English na some broken Swahili.
Wananchi wao wala hawakipendi kiswahili.
Lugha ni 3rd option, lakini wanataka kujíonesha duniani wanatumia kiswahili wakati hawakipendi.
Very confused.
 
Mimi pia nimetembea kidogo duniani, kote huko duniani,ikiwemo nchi za Ulaya ambazo kiingereza sio lugha yao ya Taifa, nao pia wanapata shida sana kujieleza kwa kiingereza, nenda Ujerumani, ufaransa, Italia, Uholanzi uone ni kwa jinsi gani wanavyopata taabu kujieleza kwa kutumia Kiingereza, tena mji kama wa Brussel, ukiingia baadhi ya migahawa, ukizungumza Kiingereza hata kama mhudumu anakijua kiingereza anajibu kifaransa, ili akulazimishe utumie lugha yao, huko china na Japan ndiyo balaa.

Ni maajabu kuona kwamba wananchi wapo confortable na wanaielewa zaidi lugha ya pili ya taifa lao kuliko lugha yao ya kwanza, maajabu haya nimeyagunrua Kenya ninajaribu kutafuta nchi nyingine hapa duniani ambapo shughuli zote za serikalo zonafanyika kwa kutumia lugha ambayo sio lugha ya taifa inayotambulika rasmi kwenye katiba ya nchi, ila hadi sasa sijaipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimewapokea wataalam, wahandisi kutokea Ulaya nikiwa hata huko Bongo ili kuwatembeza kwenye miradi kadhaa,

Hao watu wa ulaya unawapokea kwa sababu wanakuja kufanya na wewe kazi kwenye mradi ambao unakuwa umeomba kuufanya hapa nchini! Ni lazima uwapokee maana wewe ndo mwenyeji wao! Hii haimaanishi kuwa hakuna mtanzania asiyeweza kuwapokea hao wageni wako! Na kingine ukumbuke kuwa kibali chako cha kufanya kazi hapa nchini sio cha kupokea wageni au kuwa mkarimani, bali ni cha kufanya kazi nyingine ndo maana unaishia kuwapokea tu hao washirika wako na kwenda kufanya mradi wenu.

Hivi nikuulize, watu wote kutoka nchi za ulaya na marekani wanaokuja hapa huwa wanapokewa na wakenya? Au je kama watanzania hawajui hicho kiingereza, hao watu wa mataifa mengine huwa wanafanyaje kazi zao?

Na kitu kingine ambacho unatakiwa ukifahamu, japo najua unakifahamu ni kuwa wewe pamoja na wakenya wengine mnaofanya kazi hapa Tanzania mnazifanya si kwa sababu kuwa watanzania hawawezi kuzifanya, bali kwa sababu ya ushirikiano na makubaliano kati ya taifa na taifa.
 
Mimi pia nimetembea kidogo duniani, kote huko duniani,ikiwemo nchi za Ulaya ambazo kiingereza sio lugha yao ya Taifa, nao pia wanapata shida sana kujieleza kwa kiingereza, nenda Ujerumani, ufaransa, Italia, Uholanzi uone ni kwa jinsi gani wanavyopata taabu kujieleza kwa kutumia Kiingereza, tena mji kama wa Brussel, ukiingia baadhi ya migahawa, ukizungumza Kiingereza hata kama mhudumu anakijua kiingereza anajibu kifaransa, ili akulazimishe utumie lugha yao, huko china na Japan ndiyo balaa.

Ni maajabu kuona kwamba wananchi wapo confortable na wanaielewa zaidi lugha ya pili ya taifa lao kuliko lugha yao ya kwanza, maajabu haya nimeyagunrua Kenya ninajaribu kutafuta nchi nyingine hapa duniani ambapo shughuli zote za serikalo zonafanyika kwa kutumia lugha ambayo sio lugha ya taifa inayotambulika rasmi kwenye katiba ya nchi, ila hadi sasa sijaipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea vyema sana kuhusu mataifa mengine kupata shida za kujieleza kwa kiingereza! Siku chache zilizopita tulikuwa na mjerumani tukifanya naye mambo kadhaa, alikuwa anapata shida sana kuongea kiingereza hadi akaamua kutafuta mkalimani kutoka kwenye ubalozi wao!

Na huyo mjerumani ni msomi wa kiwango cha shahada ya uzamivu!
 
Mimi pia nimetembea kidogo duniani, kote huko duniani,ikiwemo nchi za Ulaya ambazo kiingereza sio lugha yao ya Taifa, nao pia wanapata shida sana kujieleza kwa kiingereza, nenda Ujerumani, ufaransa, Italia, Uholanzi uone ni kwa jinsi gani wanavyopata taabu kujieleza kwa kutumia Kiingereza, tena mji kama wa Brussel, ukiingia baadhi ya migahawa, ukizungumza Kiingereza hata kama mhudumu anakijua kiingereza anajibu kifaransa, ili akulazimishe utumie lugha yao, huko china na Japan ndiyo balaa.

Ni maajabu kuona kwamba wananchi wapo confortable na wanaielewa zaidi lugha ya pili ya taifa lao kuliko lugha yao ya kwanza, maajabu haya nimeyagunrua Kenya ninajaribu kutafuta nchi nyingine hapa duniani ambapo shughuli zote za serikalo zonafanyika kwa kutumia lugha ambayo sio lugha ya taifa inayotambulika rasmi kwenye katiba ya nchi, ila hadi sasa sijaipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
1) Uganda lugha ya asili inayotumika na watu wengi ni Kibaganda. Lakini Kiingereza kinatumika katika bunge n.k
2) Nigeria bado sijajua lugha gani ya asili kinatumika sana ila Kiingereza kinatumika katika bunge n.k
3) Zambia, Zimbabwe shughuli zote zaendeshwa kwa Kiingereza kwa sababu Muingereza alikuwa shetani mkubwa sana wa kuharibu lugha ya asili. Isipokuwa T.Z nchi zingine zilizotawaliwa na Waingereza ziliharibiwa.
4) Francophone countries mambo ni yale yale. Enda Senegal uniambie kama wanaongea wolof au lugha yoyote ya asili au ni kifaransa? Senegal,Burkina Faso, Ivory Coast n.k wote wanaongea kifaransa bungeni.
 
Bado hujaingia kwenye point, unazunguka zunguka ukweli tu, kila nchi duniani kote ina lugha yake ya Taifa iliyotajwa kwenye katiba ya inchi husika, nchi nyingi zilizotawaliwa ziliamua kuchagua lugha ya mkoloni aliyewatawala kuwa ndiyo lugha yao ya taifa, purely for convinience, hizo zote ulizozitaja hapo juu zinaendesha shughuli zao za serikali kwa kutumia lugha yao ya taifa lao, wengi hapo ni kiingereza, kwa nini Kenya msitangaze kiingereza kuwa lugha rasmi ya taifa lenu mkakitumia badala yake mnasema lugha ya taifa ni kiswahili lakini shughuli zote za serikali ni kiingereza?

Unapokiweka kitu kiwe ni nembo ya taifa, unamaanisha kwamba ni lazima watu wakilinde, wakiheshimu na wakitetee, sasa ninyi wakenya kwa hukweli Kiswahili hamkipendi kama mnavyopenda kiingereza, mtakiheshimu vipi, mtakilinda na kukiendeleza vipi na mtakitetea vipi?, wakenya wengi wanaona aibu hata kununua na kusoma magazeti ya Kiswahili hapo Nairobi, wapo very proud kujishababisha na kizingu tena chenye lafidhi au ya uingereza au marekani, utavisikia visichana vikizungumza kwa kung'ata na kutafuna maneno...aam...aam..aam...am ...ilimuradi vionekane vimeishi ulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom