Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Tunahitaji urafiki wa karibu na anayejua mwisho wa siku zetu.Hii dunia ni ubatili mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunahitaji urafiki wa karibu na anayejua mwisho wa siku zetu.Hii dunia ni ubatili mtupu
AbsolutelyGraveyards are full of unaccomplished dreams! 😐😐
Ndo maana tunasems maisha hayana maanaMaisha yakiwa na huruma hayawi tena Maisha
MD hakosi pa kujishikiza hapa mjin mzee,Usiseme hvyo ndugu,sasa kama ajira hakuna aendelee kukaa akiisubiri serikali ??
Ndo maana tunasems maisha hayana maana
Upareni wazee wa miaka 100 wamejazanaMaisha ya Africa ya kubahatisha sana.
Africa wastani wa kuishi ni miaka 64, Ulaya ni 80, China & Marekani 78, Japan 85. Watu wanakufa hovyo hovyo sana Africa, thamani ya maisha ni ndogo kuliko kote duniani.
kweli kabisaTunahitaji urafiki wa karibu na anayejua mwisho wa siku zetu.
Zinzatia neno "wastani"/averageUpareni wazee wa miaka 100 wamejazana
Muhumu zaidi ni kupambana na ajali pia na kuboresha hospitali.Tunahitaji urafiki wa karibu na anayejua mwisho wa siku zetu.
Apumzike kwa Amani ...Kifo ni fumbo zito sana.Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajiri, akaamua ajishikize kwenye Bajajo, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaji yake kugongana na coaster.
Mwamba akalaa mazima. Ooh maisha nini ni sasa? Harakati zote na ndoto zote zimekwisha. Its too sad indeed.
maisha sio ya kwako. jua Yuko aliyekuleta duniani na utaondoka, cha msingi tafuta kujua kusudi lako la kuwepo duniani. wengine walikufa wakiwa wachanga kabisa, wewe upo hadi leo, kwanini? bila ya kujua kwanini upo, maisha ni hasara.Maisha kutokuwa na huruma ndio concern ya mtoa mada, kwa nini maisha yasiwe na huruma wakati hatukuomba kuzaliwa wala kuyapata?
Poleni.Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajiri, akaamua ajishikize kwenye Bajajo, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaji yake kugongana na coaster.
Mwamba akalaa mazima. Ooh maisha nini ni sasa? Harakati zote na ndoto zote zimekwisha. Its too sad indeed.
Ujue kayumba imefanya ZUNGU letu linakua Lina matege... ZUNGU Lina Kona Kona..Poleni sana wafiwa. Ndio maana kila siku nawakumbusha acheni kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za ENGLISH MEDIUM maisha yenyewe ndio hayo hayo. Haya sasa twende kazi, haraka sana kimbia watoe watoto wako shule za English Mediums warudishe Kayumba. Utakuja kunishukuru
“Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu.Apumzike kwa Amani ...Kifo ni fumbo zito sana.