Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Maisha ya Africa ya kubahatisha sana.
Africa wastani wa kuishi ni miaka 64, Ulaya ni 80, China & Marekani 78, Japan 85. Watu wanakufa hovyo hovyo sana Africa, thamani ya maisha ni ndogo kuliko kote duniani.
Magonjwa, ajali, vitu feki, huduma mbovu. Africa hatuishi tuna survive kila siku unakwepa mishale.