Ama kwa hakika maisha hayana maana kabisa

Ukitaka kujishughulisha basi usafiri wa vyombo vya moto iwe last option kwako hasa hapa Dar.

Mimi niko hospitali na hakuna wiki inapita bila kupokea majeruhi na wengine wakiwa marehemu tayari, na 99% ni wa ajali za boda na bajaji, ajali za magari ni chache sana.

Watu wasichojua ni kwamba, kuishi mjini ni sawa na unatembea kwenye pori lenye wanyama wakali, muda wowote unageuka marehemu au kilema wa milele.
 
Kwakuwa ana MD ilibidii afe lini?
 
Maisha ya Africa ya kubahatisha sana.
Africa wastani wa kuishi ni miaka 64, Ulaya ni 80, China & Marekani 78, Japan 85. Watu wanakufa hovyo hovyo sana Africa, thamani ya maisha ni ndogo kuliko kote duniani.
Upareni wazee wa miaka 100 wamejazana
 
Apumzike kwa Amani ...Kifo ni fumbo zito sana.
 
Maisha kutokuwa na huruma ndio concern ya mtoa mada, kwa nini maisha yasiwe na huruma wakati hatukuomba kuzaliwa wala kuyapata?
maisha sio ya kwako. jua Yuko aliyekuleta duniani na utaondoka, cha msingi tafuta kujua kusudi lako la kuwepo duniani. wengine walikufa wakiwa wachanga kabisa, wewe upo hadi leo, kwanini? bila ya kujua kwanini upo, maisha ni hasara.
 
Poleni.
Maisha hayana guarantee, kwamba unachokiasisi lazima ukihitimishe, hapana.

Ukiamka na afya asubuhi, mshukuru Mungu na hako kakipande kauhai ulikojaaliwa siku hiyo kasherehekee kwa furaha na kumwaga upendo kwa wengine.

Maana haujui ya kesho, uhai ukishatoka ni milele na milele, ni infinity.
 
Waafrika hasa watanzania wana kufa sana kutokana na ujinga, uzembe na upumbavu.

Kusafiri katika barabara za Tanzania ni HATARI ya kuweza kupoteza uhai wako muda wowote.

Mijitu inaendesha vyombo vya usafiri kama mapanyaπŸ€ yanayo kimbizana darini.

Mijitu inajazwa kwenye public buses: daladala, Hiace, Noah, mwendokasi n.k kama magunia ya viazi πŸ₯” .

Mibodaboda barabarani kama misafara ya Siafu 🐜

Kuishi Africa tu, Ni hatari kwa uhai wako na Life expectancy yako kwa ujumla.
 
Ujue kayumba imefanya ZUNGU letu linakua Lina matege... ZUNGU Lina Kona Kona..
Inasemekana quoted from JAKAYA KIKWETE....ndalichako aliwai chukua walimu wa shule ya msingi akawapa mtihani wa standard 7 unwounderful enough WALIMU WALE MAJORITY WALIFAIL πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

I agree to disagree πŸ˜ƒ πŸ™‚ πŸ˜ƒ πŸ™‚
 
Apumzike kwa Amani ...Kifo ni fumbo zito sana.
β€œLakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu.
”
β€” 1 Wakorintho 2:10 (Biblia Takatifu)

wa rohoni huyajua yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…