Ama kwa hakika maisha hayana maana kabisa

Joined
Oct 27, 2024
Posts
33
Reaction score
277
Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajira, akaamua ajishikize kwenye Bajaj, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaj yake kugongana na coaster.

Mwamba akalala mazima. Ooh maisha nini ni sasa? Harakati zote na ndoto zote zimekwisha. Its too sad indeed.
 
Poleni sana wafiwa. Ndio maana kila siku nawakumbusha acheni kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za ENGLISH MEDIUM maisha yenyewe ndio hayo hayo. Haya sasa twende kazi, haraka sana kimbia watoe watoto wako shule za English Mediums warudishe Kayumba. Utakuja kunishukuru
 
Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajiri, akaamua ajishikize kwenye Bajajo, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaji yake kugongana na coaster.
Mwamba akalaa mazima. Ooh maisha nini ni sasa? Harakati zote na ndoto zote zimekwisha. Its too sad indeed.
shakespeare anasema hivi katika kitabu mchezo wa McBeth:
"Life's but a walking shadow,
a poor player, That struts and frets his hour upon the stage,
And then is heard no more.
It is a tale Told by an idiot,
full of sound and fury, Signifying nothing.”
 
Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajiri, akaamua ajishikize kwenye Bajajo, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaji yake kugongana na coaster.
Mwamba akalaa mazima. Ooh maisha nini ni sasa? Harakati zote na ndoto zote zimekwisha. Its too sad indeed.
poleni mkuu. tuwekeze kujua ni nini kitafuata baada ya maisha haya. Maisha haya ni mafupi sana hata kwa aliyefikisha miaka 80 ama 90 bado anaona angeendelea kuishi
 
Maisha ya Africa ya kubahatisha sana.
Africa wastani wa kuishi ni miaka 64, Ulaya ni 80, China & Marekani 78, Japan 85. Watu wanakufa hovyo hovyo sana Africa, thamani ya maisha ni ndogo kuliko kote duniani.
 
Pole sana R.I.P daktari.
Kifo kinatokea kwa mtu yeyote bila kujali elimu,kazi,umri.
Kwa yeye kifo kimemtokea akiwa kama dereva wa bajaji barabarani(na si kama dakatari) kwa ajali ya barabarani.

KWELI AJALI ZA BARABARANI zipo na zinaweza kumtokea yeyote ni muhimu tuchukue tahadhari na matumizi sahihi ya barabara,na kumuomba Mungu atusaidie safari ni hatua.

Wakati mwingine ajali unaweza kusababishiwa na mwingine au kusababisha wewe.
Tuwe makini barabarani ili kupunguza kusababisha na kusababishia wengine ajali na kupoteza maisha kwa ajali zinazoweza kuepukika.

Mungu ampumzishe kwa amani,alikuwa bado na ndoto nyingi R.I.P doc.
 
Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajiri, akaamua ajishikize kwenye Bajajo, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaji yake kugongana na coaster.
Mwamba akalaa mazima. Ooh maisha nini ni sasa? Harakati zote na ndoto zote zimekwisha. Its too sad indeed.
Yan umemaliza MD unaamua kujishikiza kwenye bajaji?

Jamaa hakuwa serious
 
Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajiri, akaamua ajishikize kwenye Bajajo, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaji yake kugongana na coaster.
Mwamba akalaa mazima. Ooh maisha nini ni sasa? Harakati zote na ndoto zote zimekwisha. Its too sad indeed.
Tuna la kujifunza sana mkuu,muhimu kuliko yote ni kujikabidhi kwa MUNGU na kutenda yaliyo mema.
 
Back
Top Bottom