Umenikumbusha kitu...jana hapa mtaani kwetu kulikua na harusi basi kikapigwa kitorondo wakawa wanacheza watoto tuu...acha kabisa mwana ulivyopigwa walisimama hadi watu wazima wenye heshima zao acha waserebuke....
Kiukweli mtu unayejiheshimu huwezi kucheza kitorondo....matusi si matusi ilimrad tafrani...