Ama kweli Ali Kiba anatisha, Kapokelewa kama Rais huko Masasi Mtwara

Ama kweli Ali Kiba anatisha, Kapokelewa kama Rais huko Masasi Mtwara

Kapokelewa kama jk au kama rais wa sinza ,rais wa watuma salam,rais wa wasanii fafanua mleta mada maraisi wapo wengi
 
Umenikumbusha kitu...jana hapa mtaani kwetu kulikua na harusi basi kikapigwa kitorondo wakawa wanacheza watoto tuu...acha kabisa mwana ulivyopigwa walisimama hadi watu wazima wenye heshima zao acha waserebuke....
Kiukweli mtu unayejiheshimu huwezi kucheza kitorondo....matusi si matusi ilimrad tafrani...

Nowdays ni mwana plus niseme & nitajuta za ya moto band....hiko kitorondo kishawekwa kando.
 
Back
Top Bottom