Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenikumbusha kitu...jana hapa mtaani kwetu kulikua na harusi basi kikapigwa kitorondo wakawa wanacheza watoto tuu...acha kabisa mwana ulivyopigwa walisimama hadi watu wazima wenye heshima zao acha waserebuke....
Kiukweli mtu unayejiheshimu huwezi kucheza kitorondo....matusi si matusi ilimrad tafrani...
Nowdays ni mwana plus niseme & nitajuta za ya moto band....hiko kitorondo kishawekwa kando.