antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Acha uongo na uzushi wee chawa.Gentleman,
chaguzi zote za Tanzania zilizopita na zitakazoendelea kufanyika nchini,
zitakua daima free and fair elections na zote zitafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
kama kuna free and fair elections zaidi ya iliyoko kwenye katiba ya Tanzania, labda mkafanye huko huko mnakodhani hivyo.
but free and fair elections ndio mila na desturi ya chaguzi zote za Tanzania![]()
Sikiliza hapa..
View: https://youtu.be/H77NTG71YW0?si=FWWxXvrhxdhNOOLp