Ama kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu. Ona hili vibe la Ndato Rungwe CCM wakasome

Ama kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu. Ona hili vibe la Ndato Rungwe CCM wakasome

Uchaguzi wa huru na haki CCM nje asubuhi na mapema. Ni kuhamasisha watu wajiandikishe na wajitokeze kupiga kura.
Unazungumzia haya yafanyike lini,2030?
Unao uvumilivu wa kuendelea na huyu mhalifu wakati wote huo?
Ni kama unamtia moyo azidi kufanya uhalifu zaidi!
 
Uchaguzi wa Haki ccm haitoboi
"Uchaguzi wa HAKI na HURU" pekee walionao kwa sasa waTanzania ni kumfurumsha muuaji Samia Suluhu Hassan ambaye ni mtawala haram kwa njia yoyote watakayoona inafaa bila ya kuchelewa.

Hizo habari za kura sandukuni ni kumpa matumaini tu kwamba mmekubali kumpa muda aendelee kukaa kwenye madaraka asiyostahili kuwa nayo.
 
Kupitia magumu haimaanishi utakuja kuishi kwa furaha.
 
Uchaguzi wa huru na haki CCM nje asubuhi na mapema. Ni kuhamasisha watu wajiandikishe na wajitokeze kupiga kura.
CCM lazima kwa hali hii wawe dictators! Lazima wateke na kupoteza watu
Sio mapema. Sema misa ya kwanza
 
CHADEMA ipo mioyoni mwa waTanzania na kinaaminiwa kwa kuelewa matatizo yanayowakabili raia na kuyasema waziwazi
 
Back
Top Bottom