antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Acha uongo na uzushi wee chawa.Gentleman,
chaguzi zote za Tanzania zilizopita na zitakazoendelea kufanyika nchini,
zitakua daima free and fair elections na zote zitafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
kama kuna free and fair elections zaidi ya iliyoko kwenye katiba ya Tanzania, labda mkafanye huko huko mnakodhani hivyo.
but free and fair elections ndio mila na desturi ya chaguzi zote za Tanzania
Wizi wa kura ndio sababu pekee bado mnaitwa chama cha siasa, bila wizi CCM ingekuwa historianonsense,
ni muhimu zaidi kuacha upotoshaji useless kama huo gentleman?
hizo fujo, makelele na vurugu ambazo unaziita vibe, zimewahi kuisaidia nini chadema kwa mfano gentleman?
ni upuuzi mtupu
Haya ni mahaini yanayotuharibia nchiAcha uongo na uzushi wee chawa.
Sikiliza hapa..
View: https://youtu.be/H77NTG71YW0?si=FWWxXvrhxdhNOOLp
free and fair elections Tanzania sio suala la kutiliwa shaka hata kidogo, mwenye mashaka nalo labda mshirikina
Gentleman,Wizi wa kura ndio sababu pekee bado mnaitwa chama cha siasa, bila wizi CCM ingekuwa historia
Gentleman,
yaani unang'ang'ana na porojo nonsense kama hizo za mlevi moja,Acha uongo na uzushi wee chawa.
Sikiliza hapa..
View: https://youtu.be/H77NTG71YW0?si=FWWxXvrhxdhNOOLp
Police na CCM hawaamini macho yao.Uchaguzi wa huru na haki CCM nje asubuhi na mapema. Ni kuhamasisha watu wajiandikishe na wajitokeze kupiga kura.
CCM lazima kwa hali hii wawe dictators! Lazima wateke na kupoteza watu
Sawa BATAnonsense,
ni muhimu zaidi kuacha upotoshaji useless kama huo gentleman?
hizo fujo, makelele na vurugu ambazo unaziita vibe, zimewahi kuisaidia nini chadema kwa mfano gentleman?
ni upuuzi mtupu
nouma sanaKabisa aisee,
Ifike mahali policcm, Tiss, iNEC na taasisi zote wakatae kutumiwa na mafisadi ili matakwa, mapenzi na matamanio ya umma wa Watanzania yatamalaki
punguza porojo nyumbuSawa BATA
Wafuasi wa CHADEMA Akili zao kama yule ndege aitwae Mbuni, Mbuni utaratibu wake wa kujificha pindi atakiwi kufikiwa na adui yake ni tofauti na ndege wote Dunia, Mbuni badala ya kujificha mwili wote, yeye anaficha kichwa kwe fukutu na mwili wote unabaki nje. CHADEMA wanajusifu kujaza watu hali yakuwa hakuna wanaeshindanana nae.Hii ni hatari CCM lazima wapaniku CDM ipo mioyoni wa Watanzania.
View attachment 3594855
Hakuna namna nyingine ya kupambana na CDM zaidi tu ni kujiunga mkono maisha mengine yaendeleeHii ni hatari CCM lazima wapaniku CDM ipo mioyoni wa Watanzania.
View attachment 3594855
Gentleman,
hiyo itabaki dhana nonsense potofu ya ambao tayari wanaona kabisa hawatapigiwa kura na wananchi kwasababu hawana agenda wala hawana sera, bali wamejawa matusi useless, porojo na uropokaji mtupu,
chaguzi za Tanzania zitaendelea kufanyika freely and fairly kulingana na sheria na katiba ya nchi.
dhana potofu useless kama hizo zitaendelea kupuuzwa kwasababu hazina maana yoyote
Gentleman chama chako mmeifanya Tanzania kuwa maskini sana na nchi ya hovyo sana kuishi, wananchi wamechoka ondokeni tuupunguza porojo nyumbu
Bongo hakuna haki kama huna uwezo wa kuipambania.Uchaguzi wa Haki ccm haitoboi
Haaa TAL akiitisha mkutano sijui.balaa lakeNawaza Huo mkutano wa kwanza wa Lissu sijui itakuwaje!!! Si watateka taifa zima kwa hasira