Unazungumzia haya yafanyike lini,2030?Uchaguzi wa huru na haki CCM nje asubuhi na mapema. Ni kuhamasisha watu wajiandikishe na wajitokeze kupiga kura.
Raia watavuka mikoaHaaa TAL akiitisha mkutano sijui.balaa lake
"Uchaguzi wa HAKI na HURU" pekee walionao kwa sasa waTanzania ni kumfurumsha muuaji Samia Suluhu Hassan ambaye ni mtawala haram kwa njia yoyote watakayoona inafaa bila ya kuchelewa.Uchaguzi wa Haki ccm haitoboi
Sio mapema. Sema misa ya kwanzaUchaguzi wa huru na haki CCM nje asubuhi na mapema. Ni kuhamasisha watu wajiandikishe na wajitokeze kupiga kura.
CCM lazima kwa hali hii wawe dictators! Lazima wateke na kupoteza watu
Naongezea. CDM mapafu ya cheetahCHADEMA MAPAFU YA MBWA
Lini CHADEMA watafanya mkutano Dar es Salaam