Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Don't try to see death coming. You won't.
Kama uko serious.. Kisa kinaelezea hivI kwa tafsiri isiyo rasmi;Mm sijaelewa any translater?
Nashukuru mkuu nimekupata.....Kama uko serious.. Kisa kinaelezea hivI kwa tafsiri isiyo rasmi;
Kijana Reuben alikuwa ni muhudumu wa hoteli ambayo magaidi hao walikuwa wakifika mara kwa mara kujipatia kahawa na mambo mengine mpaka akazoeana nao (hakujua ni magaidi).
Sasa, pamoja na kwamba hao wateja (magaidi) kuwa wakorofi na wababe walipokuwa wakihitaji huduma, mshikaji alikuwa akiwapa huduma kwa upole na unyenyekevu ile kiroho safi.
Siku ya tukio, Reuben akiwa amelala chini na watu wengine, aliinua kichwa chake na kugonganisha macho na gaidi mmoja akamfahamu.. Gaidi akakumbuka ukarimu wa Reuben, akawaua watu wengine wote na kumuacha hai Reuben. Wema wake ulimuokoa na kifo.
Hapo vipi mkuu? Najua nimesaidia wengi.
Ingekuwa ni Tanznia watu kama hao wangezombwa wote kwenye kutoa ushahidi/kutoa maelezoJapo anafaa kuhojiwa, lakini sitegemei awe alihusika maana alivyo mjinga anahadithia hicho kisa ilhali kinaweza kumtia kwenye matatizo,
kuna mengine ya kukausha hadi usome upepo kwanza, sasa hivi usalama wa taifa wana hasira kama simba, wanazunguka kote wakitafuta wa kumtia meno.
Sasa hao walikua wamejitoa muhanga hata ukimjua inasaidia nini wakati yeye anajua amekuja kuua na kuuawa?Wangekua wamekuja kuua na kukimbia asingemuachaNashukuru mkuu nimekupata.....
Navyo fahamu mm jambazi/gaidi akisha fahamu umemtambua hakuachi salama ili kuondoa ushahidi...
Hatuwezi kumhukumu huyu dogo lakini angetakiwa achunguzwe na kuhojiwa....
Huyo Mungu kamuokoa tu coz Jambazi ni mbaya sana kama.anakujua pindi ukikutana NAE kwenye tukioNimewaza sana, life acha tu..!!
🤔Tunaweza jifunza jambo hapa, WEMA always una nguvu zaidi ya UOVU..!! *Just be nice to people you never know who they are..!!*
View attachment 998071