Ama kweli kisa hiki cha Nairobi Kenya, cha kijana aliyeachwa hai na gaidi kina mafunzo mengi, be nice to people you never know..!!

Ama kweli kisa hiki cha Nairobi Kenya, cha kijana aliyeachwa hai na gaidi kina mafunzo mengi, be nice to people you never know..!!

Nashukuru mkuu nimekupata.....

Navyo fahamu mm jambazi/gaidi akisha fahamu umemtambua hakuachi salama ili kuondoa ushahidi...

Hatuwezi kumhukumu huyu dogo lakini angetakiwa achunguzwe na kuhojiwa....
Uchunguzaji wa matukio kama haya ni torture mwanzo mwisho mkuu. Angekaushaa tu ila cctv ingemuumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upendo una nguvu sana,huyo gaidi kamwe hangeweza kumuua huyo kijana cause kijana alimtreat kwa upendo bila kujali japo yeye gaidi alikuwa rude
Ndugu usikariri.

Binafsi I wouldn't base so much on upande wa upendo but kwamba siku yangu haijafika and so my Maker wouldn't let me die.

You know why? None of those people deserved to die. Not in the name of a dumb cause by disillusioned people. Why were they killed? To prove what and to whom?

The terrorist just decided to let him go. No love lost let us not get carried away here, its terrorists we are dealing with not Good Samaritans.
 
Can't buy this risto!!!
AKadanganye mafala. Aliambiwa wakija ainuke ili asiuliwe. Alikuwa amekabidhiwa kitita cha pesa kabla ya utekelezaji wa huu ugaidi na mastermind behind this atrocity. Ikiwezekana, utafiti ufanywe.

How do you raise your head to look at a terrorist in such a situation? Where do you get the guts from?

And by by coincidence their eyes met? 🙄🙄🙄.

I smell a rat.
 
Japo anafaa kuhojiwa, lakini sitegemei awe alihusika maana alivyo mjinga anahadithia hicho kisa ilhali kinaweza kumtia kwenye matatizo,
kuna mengine ya kukausha hadi usome upepo kwanza, sasa hivi usalama wa taifa wana hasira kama simba, wanazunguka kote wakitafuta wa kumtia meno.
He's well trained informer anajua nini cha kusema na nini asiseme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo anafaa kuhojiwa, lakini sitegemei awe alihusika maana alivyo mjinga anahadithia hicho kisa ilhali kinaweza kumtia kwenye matatizo,
kuna mengine ya kukausha hadi usome upepo kwanza, sasa hivi usalama wa taifa wana hasira kama simba, wanazunguka kote wakitafuta wa kumtia meno.
You are right, lakini pia huyo kijana anaweza kuwa na akili sana kwenye kujihami, anaweza kuwa kafikia kusema hiyo story nzima ili kuepusha swali likija kwanini walimuacha peke yake wakaua wengine wote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He's well trained informer anajua nini cha kusema na nini asiseme

Sent using Jamii Forums mobile app

Wacha stori za movie, huyo hana lolote katiririka bila kutumia akili maana bado yupo traumatized, informer ambaye yuko trained hawezi kusema chochote ambacho hajaulizwa, anajimix tu kwa watu na kujifanya kushanga shangaa kama wengine.
 
Japo anafaa kuhojiwa, lakini sitegemei awe alihusika maana alivyo mjinga anahadithia hicho kisa ilhali kinaweza kumtia kwenye matatizo,
kuna mengine ya kukausha hadi usome upepo kwanza, sasa hivi usalama wa taifa wana hasira kama simba, wanazunguka kote wakitafuta wa kumtia meno.
NOO yeye hakujua kama ni materrorist aisee.. Huwezi kumjua mtu undani wake so watreat watu vizuri hilo ndo funzo kubwaa..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upendo gani unapoua watu ambao hawahusiani na ugomvi wako na yeyoye mnayegombana naye. Kuwa na aibu kabla ya kuandika vitu vingine.
Hujanielewa mkuu, nimemjibu yule jamaa juu pale aliyeuliza kuwa waiter ameachwa sababu ya kuwahudumia kahawa na kuwatreat kwa upendo hao magaidi, nilichomaanisha ni kwamba hao watu huwa wao kwa wao au ukiinteract nao moja kwa moja wanakuona una upendo na wana uthamini sana, ila kama uko nje ya Circle yao umekwisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@karucee,kama base yako ni kuwa kumbe ni mipango ya mungu tukio lile litokee,na nani afe pale na nani asife,maana yake ni kuwa hata hao magaidi ni tool za mungu kutimiza kazi zake,which makes them innocent,which i dont agree with your reasoning,

mtu yeyote anaekua tayari kufanya shambulio la kujitoa mhanga agaisnt innocent civilian,yeye binafsi lazima awe so fuckedup kisaikolojia,
anaweza kuwa alishawahi kuwa abused katika makuzi,mfano kakulia katika mazingira ya manyanyaso etc,amejenga akilini kwamba dunia imemtenga nobody care all love him/her,in short he/she is against the world,
that is where showing a little bit love comes into play,
 
Wacha stori za movie, huyo hana lolote katiririka bila kutumia akili maana bado yupo traumatized, informer ambaye yuko trained hawezi kusema chochote ambacho hajaulizwa, anajimix tu kwa watu na kujifanya kushanga shangaa kama wengine.
Anaekt hio kiwewe mkuu,
mi nakuambia wampige shot za maana anasema kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo anafaa kuhojiwa, lakini sitegemei awe alihusika maana alivyo mjinga anahadithia hicho kisa ilhali kinaweza kumtia kwenye matatizo,
kuna mengine ya kukausha hadi usome upepo kwanza, sasa hivi usalama wa taifa wana hasira kama simba, wanazunguka kote wakitafuta wa kumtia meno.

Tena ni mjinga sio kidogo
 
Back
Top Bottom