Ama kweli kisa hiki cha Nairobi Kenya, cha kijana aliyeachwa hai na gaidi kina mafunzo mengi, be nice to people you never know..!!

Ama kweli kisa hiki cha Nairobi Kenya, cha kijana aliyeachwa hai na gaidi kina mafunzo mengi, be nice to people you never know..!!

Nimewaza sana, life acha tu..!!

🤔Tunaweza jifunza jambo hapa, WEMA always una nguvu zaidi ya UOVU..!! *Just be nice to people you never know who they are..!!*

View attachment 998071

guys don't keep your eyes contact with the attackers, especially when you know him/her, you will be shot to rub and erase the evidence.
it's dangerous.
 
Kama uko serious.. Kisa kinaelezea hivI kwa tafsiri isiyo rasmi;

Kijana Reuben alikuwa ni muhudumu wa hoteli ambayo magaidi hao walikuwa wakifika mara kwa mara kujipatia kahawa na mambo mengine mpaka akazoeana nao (hakujua ni magaidi).

Sasa, pamoja na kwamba hao wateja (magaidi) kuwa wakorofi na wababe walipokuwa wakihitaji huduma, mshikaji alikuwa akiwapa huduma kwa upole na unyenyekevu ile kiroho safi.

Siku ya tukio, Reuben akiwa amelala chini na watu wengine, aliinua kichwa chake na kugonganisha macho na gaidi mmoja akamfahamu.. Gaidi akakumbuka ukarimu wa Reuben, akawaua watu wengine wote na kumuacha hai Reuben. Wema wake ulimuokoa na kifo.

Hapo vipi mkuu? Najua nimesaidia wengi.
Amejuaje kama kaachwa kwa sababu ya kufahamiana?

Yani kajihakikishia kwamba ule wema wake wa kuwahudumia ndo umemfanya wamuache siwo?
 
Kama uko serious.. Kisa kinaelezea hivI kwa tafsiri isiyo rasmi;

Kijana Reuben alikuwa ni muhudumu wa hoteli ambayo magaidi hao walikuwa wakifika mara kwa mara kujipatia kahawa na mambo mengine mpaka akazoeana nao (hakujua ni magaidi).

Sasa, pamoja na kwamba hao wateja (magaidi) kuwa wakorofi na wababe walipokuwa wakihitaji huduma, mshikaji alikuwa akiwapa huduma kwa upole na unyenyekevu ile kiroho safi.

Siku ya tukio, Reuben akiwa amelala chini na watu wengine, aliinua kichwa chake na kugonganisha macho na gaidi mmoja akamfahamu.. Gaidi akakumbuka ukarimu wa Reuben, akawaua watu wengine wote na kumuacha hai Reuben. Wema wake ulimuokoa na kifo.

Hapo vipi mkuu? Najua nimesaidia wengi.
Asante mkuu angalau na mimi kayumba nimeelewa kitu maana nilishatoka kapa
 
Nashukuru mkuu nimekupata.....undefinedNavyo fahamu mm jambazi/gaidi akisha fahamu umemtambua hakuachi salama ili kuondoa ushahidi...Hatuwezi kumhukumu huyu dogo lakini angetakiwa achunguzwe na kuhojiwa....
undefinedha ha ha,kibongo bongo lazima uhojiwe,ila hawa ni wakenya,wana upeo wa juu,wanajua hawa watu lazima walikuja kufanya casing the joint kabla ya kuvamia hapo,mhudumu hangeweza kujua kuwa hao ni watu gani
 
Achunguzwe hyo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
ANAFAA KUHOJIWA KWA KINA ASIJEKUWA NDO ALIYEWAPA RAMANI NA MCHONGO MZIMA HAO MAGAIDI. SIO WA KUMWACHA KIRAHISIRAHISI ATI ALIWAKARIMU NDO WAKAMUACHA SALAMA.
SHETANI HANAGA RAFIKI, KUNA "SMOKING GUN" HAPO NIAMINI MIMI.
Kwa upelelezi wenu wa kijinga mtapigwa sana na watawatoroka hao magaidi wakijifanya ni wahanga ama wamepona pona, kwanini msifikirie huyo jamaa ndiye informer wao na alihusika kupanga njama na kuwapa ramani za jengo hilo kabla hawajaja?
Yani kwamba jamaa amepona kisa alikuwa anawapa huduma nzuri..? labda ila sidhani ikiwa wana uwezo wa kupiga risasi watu wengine wasio kuwa na hatia huyu wana weza mwacha., nina waza tuu.
Nashukuru mkuu nimekupata.....

Navyo fahamu mm jambazi/gaidi akisha fahamu umemtambua hakuachi salama ili kuondoa ushahidi...

Hatuwezi kumhukumu huyu dogo lakini angetakiwa achunguzwe na kuhojiwa....
Naunga mkono hoja!
 
ANAFAA KUHOJIWA KWA KINA ASIJEKUWA NDO ALIYEWAPA RAMANI NA MCHONGO MZIMA HAO MAGAIDI. SIO WA KUMWACHA KIRAHISIRAHISI ATI ALIWAKARIMU NDO WAKAMUACHA SALAMA.
SHETANI HANAGA RAFIKI, KUNA "SMOKING GUN" HAPO NIAMINI MIMI.
Mkuu umenikumbusha ile show ya Power ya 50 cent alipopewa mchongo na jamaa anaefanya kazi jewelry store. Wakenda kurob halafu akamsmoke yule jamaa alietoa mchongo.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
1Wakorintho 13:4-8
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;
haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;
haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;
huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.
Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.
 
Watu waendelee ku~hack akaunti ili tuzidi kuliskia neno la Bwana. Ni nadra kupata insi wakiposti kulihusu humu
 
Hii ni bahati yake mno kupona
 
Nashukuru mkuu nimekupata.....

Navyo fahamu mm jambazi/gaidi akisha fahamu umemtambua hakuachi salama ili kuondoa ushahidi...

Hatuwezi kumhukumu huyu dogo lakini angetakiwa achunguzwe na kuhojiwa....
Wapitie previous days kwa cctv kugundua kama kulikuwa na connection yoyote au sivyo
 
Nimewaza sana, life acha tu..!!

🤔Tunaweza jifunza jambo hapa, WEMA always una nguvu zaidi ya UOVU..!! *Just be nice to people you never know who they are..!!*

View attachment 998071
Can't buy this risto!!!
AKadanganye mafala. Aliambiwa wakija ainuke ili asiuliwe. Alikuwa amekabidhiwa kitita cha pesa kabla ya utekelezaji wa huu ugaidi na mastermind behind this atrocity. Ikiwezekana, utafiti ufanywe.
 
Back
Top Bottom