Mwanamwaiche
JF-Expert Member
- Apr 13, 2022
- 665
- 968
Sitasahau, imetokea 20.08.2022 somewhere. Demu nimnywesha bia tukaenda lodge, sijafanya chochote nae katoa bonge la kojo hapohapo bed.
Nikazira, nikajitenga kwa chini, shortly baada ya lisaa nasikia pwaah nauliza umejisaidia au umejamba? Kustuka kaamka kaenda chini kaongeza kujisaidia, kahamia upande mwingine kaendeleza kunya, na kojo lingine la nguvu.
Kumbuka chumba kina choo ndani, sijagusa ndogo na wala situmii. Haogopi hajaenda choo kasogea pembeni kaacha kila kitu kajilaza tena kajifunika anapiga usingizi, kinyesi chote yapo kama kawa. Hatari sana najuta najuta.
Nilikimbia chumba alivokunya!!
Nikaenda kutoa taarifa haraka sana