Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.
Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa, atararuliwa sana atalalamika kuhujumiwa.
Ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa, kumpoteza maboya mwerevu na mjuaji kupita kiasi.
Hawezi tena kufurukuta, hatakua na muda tena wa kufanya harakati, na hataweza tena kufanya siasa alizokua akizifanya.
Bila shaka atakosa muda, atajikuta tu uchaguzi mkuu 2025 umefika na umekwisha na hatakua na la kufanya. Itamlazimu kuanza upya kujijenga.
Dah, ni kama vile kibogoyo kupewa mfupa ulowashinda fisi waerevu na walafi.
Maskini boss mpya wa TLS, ndio basi tena.
Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274