Ama kweli siasa ni sayansi, ametulizwa kwa kupewa ubosi TLS

ni dhahiri atatulia na atapoa sana.
atabadilika mno. anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono...

ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa. atararuliwa sana. atalalamika kuhujumiwa..

ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa, kumpoteza maboya mwerevu na mjuaji kupita kiasi...

hawezi tena kufurukuta, hatakua na muda tena wa kufanya harakati, na hataweza tena kufanya siasa alizokua akizifanya...

bilashaka atakosa muda, atajikuta tu uchaguzi mkuu 2025 umefika na umekwisha na hatakua na la kufanya. Itamlazimu kuanza upya kujijenga..

dah,
ni kama vile kibogoyo kupewa mfupa ulowashinda fisi waerevu na walafi..

maskini boss mpya wa TLS, ndio basi tena 🐒
Haya ni maneno ya Watu walioshindwa.
 
Unabandika kutokea pande zipi Mkuu ,umemfahamu Jana Mwabukusi
 
Ni dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.

Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa, atararuliwa sana atalalamika kuhujumiwa.

Ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa, kumpoteza maboya mwerevu na mjuaji kupita kiasi.

Hawezi tena kufurukuta, hatakua na muda tena wa kufanya harakati, na hataweza tena kufanya siasa alizokua akizifanya.

Bila shaka atakosa muda, atajikuta tu uchaguzi mkuu 2025 umefika na umekwisha na hatakua na la kufanya. Itamlazimu kuanza upya kujijenga.

Dah, ni kama vile kibogoyo kupewa mfupa ulowashinda fisi waerevu na walafi.

Maskini boss mpya wa TLS, ndio basi tena.
huku nafsi ikikusuta
 
Wadanganye Wajinga Wenzio
relax cousin wa chairman,

usidhihaki familia hii yenye heshma kubwa mno humu nchini,
kama umefikia ukomo wa fikra mpya au mawazo mbadala na huna hoja just rest kiungwana na roho safi 🐒

but for sure jamaa ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa kali sana 🐒
 
relax cousin wa chairman,

usidhihaki familia hii yenye heshma kubwa mno humu nchini,
kama umefikia ukomo wa fikra mpya au mawazo mbadala na huna hoja just rest kiungwana na roho safi 🐒
Watishe wajinga wenzio
 
Huyu jamaa nilisikia anataka Ubunge, je anaweza kugombea ubunge akiwa na nafasi yake hiyo?
inawezekana kinadharia, lakini kivitendo ni kazi nzito mno kutumika katika taasisi hizo mbili zenye majukumu makubwa na muhimu kwa mustakabali mwema wa Taifa 🐒
 
Watishe wajinga wenzio
ni utamaduni wa wenye kiburi, majivuno na waliokosa hoja kudhihaki na kudharau au kudhihaki maoni na mitazamo ya wengine iliyokinyume na yako 🐒

heshima na kupendana ni muhimu zaidi,
hata hivyo boss mpya wa TLS ndio basi tena imetoka kwenye majukwaa ya kisiasa na harakati 🐒
hivyo hivyo alivyo, anaweza kugombea hata ubunge akapata, na anaweza kuwakilisha wateja mahakamani, sioni nini kimepungua.
rejea mabossi wawili kabla ya Rais Adv.Sungusia anaemaliza muda wake 🐒
 
Ni dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.

Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa, atararuliwa sana atalalamika kuhujumiwa.

Ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa, kumpoteza maboya mwerevu na mjuaji kupita kiasi.

Hawezi tena kufurukuta, hatakua na muda tena wa kufanya harakati, na hataweza tena kufanya siasa alizokua akizifanya.

Bila shaka atakosa muda, atajikuta tu uchaguzi mkuu 2025 umefika na umekwisha na hatakua na la kufanya. Itamlazimu kuanza upya kujijenga.

Dah, ni kama vile kibogoyo kupewa mfupa ulowashinda fisi waerevu na walafi.

Maskini boss mpya wa TLS, ndio basi tena.

Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Sema hivii wale waovu wa wizi kwenye mabox ya kula wamezidiwa kete na wapenda haki na wanaoamini uwepo wa Mungu kwa uhalisia.
 
Ni dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.

Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa, atararuliwa sana atalalamika kuhujumiwa.

Ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa, kumpoteza maboya mwerevu na mjuaji kupita kiasi.

Hawezi tena kufurukuta, hatakua na muda tena wa kufanya harakati, na hataweza tena kufanya siasa alizokua akizifanya.

Bila shaka atakosa muda, atajikuta tu uchaguzi mkuu 2025 umefika na umekwisha na hatakua na la kufanya. Itamlazimu kuanza upya kujijenga.

Dah, ni kama vile kibogoyo kupewa mfupa ulowashinda fisi waerevu na walafi.

Maskini boss mpya wa TLS, ndio basi tena.

Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Huyo sio type hiyo, si chawa, si wa kujikomba au muoga kiasi cha kuogopa kufanya lolote
 
Ni dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.

Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa, atararuliwa sana atalalamika kuhujumiwa.

Ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa, kumpoteza maboya mwerevu na mjuaji kupita kiasi.

Hawezi tena kufurukuta, hatakua na muda tena wa kufanya harakati, na hataweza tena kufanya siasa alizokua akizifanya.

Bila shaka atakosa muda, atajikuta tu uchaguzi mkuu 2025 umefika na umekwisha na hatakua na la kufanya. Itamlazimu kuanza upya kujijenga.

Dah, ni kama vile kibogoyo kupewa mfupa ulowashinda fisi waerevu na walafi.

Maskini boss mpya wa TLS, ndio basi tena.

Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
 
Attachments

  • VID-20240803-WA0017.mp4
    8.5 MB

Mbona walimuengua, na mbona walituma mamluki kupiga kura?

Akili za kiccm bana zinawaza uharibufu tu muda wote
 
Back
Top Bottom