Ama kweli siasa ni sayansi, ametulizwa kwa kupewa ubosi TLS

Sema hivii wale waovu wa wizi kwenye mabox ya kula wamezidiwa kete na wapenda haki na wanaoamini uwepo wa Mungu kwa uhalisia.
kwahivyo,
unataka kusema wale mawakili waliongombe na ambao hawakugombea,na waliokusanyika hapa Dodoma sio wapenda haki, na hawamuamini Mungu right?🐒
 
Ni dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.

Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa, atararuliwa sana atalalamika kuhujumiwa.

Ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa, kumpoteza maboya mwerevu na mjuaji kupita kiasi.

Hawezi tena kufurukuta, hatakua na muda tena wa kufanya harakati, na hataweza tena kufanya siasa alizokua akizifanya.

Bila shaka atakosa muda, atajikuta tu uchaguzi mkuu 2025 umefika na umekwisha na hatakua na la kufanya. Itamlazimu kuanza upya kujijenga.

Dah, ni kama vile kibogoyo kupewa mfupa ulowashinda fisi waerevu na walafi.

Maskini boss mpya wa TLS, ndio basi tena.

Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Usipoangalia utawehuka siku sio nyingi. Nakushauri mambo ambayo huyajui Wala kuyafahamu uwe unakaa kimya kuliko kujidhalilisha.
 
umekosa hoja, mawazo mapya wala fikra mbadala umekuja na mihemko tu,

si ungerilax ufanye kazi ingine au upumzike tu gentleman kuliko kuja kuonyesha uchovu wako kwenye hoja iliyokomezani 🐒 🐒
 
TLS nayo ipo tu sijawahi kuona impact yake amepita Lissu Fatuma karume nini kimebadirika imebadirisha nini kwenye Nchi vyama hivi nikama vyama vya serikali pia ikishakua Rais mfumo kama unakubana
 
kwahivyo,
unataka kusema wale mawakili waliongombe na ambao hawakugombea,na waliokusanyika hapa Dodoma sio wapenda haki, na hawamuamini Mungu right?🐒
Hiviii,chawa na mabosi wao wanapandikiza chawa mamluki kwenye sehemu za maamuzi muhimu hata kwa wizi kwenye mabox ya kula ili waendelee kula kwa urefu wa kamba hata kuvimbiwa bila kusumbuliwa na yeyote ila kwa kuimbiwa mapambio na chawa wao wezi washirika.
 
Huyu jamaa nilimuona ni bright person kumbe ni mswahili mwenzetu
bright clan hatunaga mbambamba,
tunatoa hoja za maana kitaalamu zaidi na kwakweli ndio maana daima tuko sambamba na wananchi tunasonga mbele pamoja bila kujali fulani kapenda au kachukizwa na uzito au umuhimu wa hoja mahususi mezani 🐒

by the way,
boss mpya TLS is no more an activist nor politician, he is done, he is no more relevant in political scene politically speaking 🐒
 
Ni dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.

Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa, atararuliwa sana atalalamika kuhujumiwa.

Ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa, kumpoteza maboya mwerevu na mjuaji kupita kiasi.

Hawezi tena kufurukuta, hatakua na muda tena wa kufanya harakati, na hataweza tena kufanya siasa alizokua akizifanya.

Bila shaka atakosa muda, atajikuta tu uchaguzi mkuu 2025 umefika na umekwisha na hatakua na la kufanya. Itamlazimu kuanza upya kujijenga.

Dah, ni kama vile kibogoyo kupewa mfupa ulowashinda fisi waerevu na walafi.

Maskini boss mpya wa TLS, ndio basi tena.

Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Hopeless human being ever existed
 
Hiviii,chawa na mabosi wao wanapandikiza chawa mamluki kwenye sehemu za maamuzi muhimu hata kwa wizi kwenye mabox ya kula ili waendelee kula kwa urefu wa kamba hata kuvimbiwa bila kusumbuliwa na yeyote ila kwa kuimbiwa mapambio na chawa wao wezi washirika.
achana na Imani potofu na za kishirikina, ule ulikua uchaguzi wa chama cha mawakili Tanzania 🐒

Imani za kinyumbu na kichawa ni vema mkabaki nazo kwenye vyama vyenu vya ushirika 🐒
 
Ugonjwa wa Vichaa duniani hawezi kuisha mpaka hapo teknologjia ya Biolojia itakapo fikia hatua hiyo.
 
Rubbish. Huko CCM kila mtu ana ndevu, ni kama kambale tu.
relax gentleman,
ni vizuri kutumia mihemko kupambana na vibaka huko mtaani...

hapa ni majadiliano kwa hoja, maoni na mitazamo ya kizalendo bila kujali vyama na kwakweli bila mihemko 🐒

boss mpya TLS kaangushiwa jumba bovu 🐒
 
achana na Imani potofu na za kishirikina, ule ulikua uchaguzi wa chama cha mawakili Tanzania 🐒

Imani za kinyumbu na kichawa ni vema mkabaki nazo kwenye vyama vyenu vya ushirika 🐒
Shauri yako shauri yenu huu ni ushauri adimu kwa machawa na wala kwa urefu wa kamba hata kuvimbiwa.Usije sema hukuambiwa usije laumiwa na chawa,usije laumiwa na wala kwa urefu wa kamba.
 
Back
Top Bottom