Ama kweli siasa ni sayansi, ametulizwa kwa kupewa ubosi TLS

Ama kweli siasa ni sayansi, ametulizwa kwa kupewa ubosi TLS

bright clan hatunaga mbambamba,
tunatoa hoja za maana kitaalamu zaidi na kwakweli ndio maana daima tuko sambamba na wananchi tunasonga mbele pamoja bila kujali fulani kapenda au kachukizwa na uzito au umuhimu wa hoja mahususi mezani 🐒

by the way,
boss mpya TLS is no more an activist nor politician, he is done, he is no more relevant in political scene politically speaking 🐒

Kwahiyo huo urais wa TLS kapewa bure without any competition Battle?
 
The guy is mourning silently - ni mwendo wa kuomboleza kimya kimya
unless nisingekua kiongozi mwandamizi wa wananchi,

ninao wajibu mkubwa kwa wananchi na kwa familia hii kubwa mno ya JF, kutoa, maoni, mawazo na elimu hususani on current issues,

ukija na majibu yako mfukoni dhidi ya hoja zangu, ukadhani ati naweza babaika na flani kua nani, wapi unajidanganya tu, na kupoteza muda wako...

nachojaribu kukifanya kitaalamu zaidi ni kukusaidia uelewa na kukuongezea elimu na maarifa juu ya mambo haya 🐒

ukihemka ni juu yako..
 
Between the lines...there is something...nafsi Yako inajua unafeel vipi na Mwabukusi😅😅😅😅😅😅👋👋👋
huyu huyu mjamaa wa kiburi sio?
ambae haiwezi kuchukua muda marefu utaanza kumporomoshea yale yanayotokana na mihemko 🐒
 
Wewe ni kichaa. Hilo moja.
Pili, ukichaa unapo tulia kidogo unajikuta kuwa unayo maumivu makali sana kichwani. Unahangaika na hayo maumivu kutafuta njia ya kuyatuliza.
EEEeenHEEEEE! Ile njia ya "upole" huku ndiko inakopitia? Naona mihangaiko mikubwa sana ikikusumbua.
Uelewe usielewe, hilo ni shauri zako. Kwa mtu punguani kama wewe nani atapoteza muda kuelewesha!
umeanza kuyaporomosha sio 🤣
 
unless nisingekua kiongozi mwandamizi wa wananchi,

ninao wajibu mkubwa kwa wananchi na kwa familia hii kubwa mno ya JF, kutoa, maoni, mawazo na elimu hususani on current issues,

ukija na majibu yako mfukoni dhidi ya hoja zangu, ukadhani ati naweza babaika na flani kua nani, wapi unajidanganya tu, na kupoteza muda wako...

nachojaribu kukifanya kitaalamu zaidi ni kukusaidia uelewa na kukuongezea elimu na maarifa juu ya mambo haya 🐒

ukihemka ni juu yako..

Nothing personal , nakukubali na tutafanya Kazi 2025 if God wishes ya campaign.
 
Sure😎Kuna watu unawaelewa vzr wanapoandika...Kuna pinch huko chanikiwiti😎

Nasikia urais ni TLS ni three years na jamaa mwakani anachukua jimbo

Unawezaje kuzika mbegu ? You can't mbegu haizikwi

MTU amchukie then umpe power yoyote au jukwaa.

Mwambukusi kitu alichokuwa anahitaji ni platform jukwaa la kuongelea na kalipata
 
Nilisha kwambia siku nyingi, hapa situmii nguvu yoyote ya akili kupambana na kichaa wa aina yako. Sasa tayari tupo pamoja tena. Tuendelee.
utaniambia nini wewe gentleman 🤣

yaani nibabaike na wewe?
anyway ni kwasababu ni mwananchi wangu tu inanilazimu kukuburuza taratibu tu maana hakuna namna nyingine sasa 🐒
 
Nasikia urais ni TLS ni three years na jamaa mwakani anachukua jimbo

Unawezaje kuzika mbegu ? You can't mbegu haizikwi

MTU amchukie then umpe power yoyote au jukwaa.

Mwambukusi kitu alichokuwa anahitaji ni platform jukwaa la kuongelea na kalipata
soon mtamuona useless and nonsense 🐒
 
utaniambia nini wewe gentleman 🤣

yaani nibabaike na wewe?
anyway ni kwasababu ni mwananchi wangu tu inanilazimu kukuburuza taratibu tu maana hakuna namna nyingine sasa 🐒
Unaumia sana mkuu. Haya mabadiliko ndiyo hivyo tena hayazuiliki. Jikaze hivyo hivyo na u'gentleman' na aina zote za hadaa, lakini watu weshasoma tabia zenu za kinafiki na kuzielewa vizuri sana.
Siku zenu zina hesabika sasa.
Lakini kama ujuavyo, hakuna baya au zuri lisilokuwa na upande wa pili: ujio wenu, hatimaye ume wafungua akili waTanzania. Kwa hili tutawashukuru sana kutusaidia kuleta marekebisho ndani ya nchi yetu.
 
Ni dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.

Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa, atararuliwa sana atalalamika kuhujumiwa.

Ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa, kumpoteza maboya mwerevu na mjuaji kupita kiasi.

Hawezi tena kufurukuta, hatakua na muda tena wa kufanya harakati, na hataweza tena kufanya siasa alizokua akizifanya.

Bila shaka atakosa muda, atajikuta tu uchaguzi mkuu 2025 umefika na umekwisha na hatakua na la kufanya. Itamlazimu kuanza upya kujijenga.

Dah, ni kama vile kibogoyo kupewa mfupa ulowashinda fisi waerevu na walafi.

Maskini boss mpya wa TLS, ndio basi tena.

Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
 
utaniambia nini wewe gentleman 🤣

yaani nibabaike na wewe?
anyway ni kwasababu ni mwananchi wangu tu inanilazimu kukuburuza taratibu tu maana hakuna namna nyingine sasa 🐒
Aliye kupa kazi hii ya kuja kuweka takataka hapa kutwa nzima alikudharau sana. Sasa hapa unajifanya unamsemea boss? EEEeeeenHEEEnH. Kama siyo kichaa ninacho kueleza kinakusumbua ni kitu gani tena hiki!
 
it seems mawakili wana hali ngumu sana na hawataki kusema yaani wanakufa na tai shingoni, mama anavyo ondoa dhuluma kwa wananchi maisha ya mawakili yanazidi kuwa magumu.
 
relax bana,
huna haja kua na pressure ikiwa siasa ni taaluma yako,
unababaika pasipo sababu, unajichosha bure tu 🐒
 
it seems mawakili wana hali ngumu sana na hawataki kusema yaani wanakufa na tai shingoni, mama anavyo ondoa dhuluma kwa wananchi maisha ya mawakili yanazidi kuwa magumu.
sina hakika but inawezekana pia 🐒
 
Back
Top Bottom