Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magonjwa Wewe,, Sheikh Yahaya,, Hatuna Mwaisa BwegeNi dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.
Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa, atararuliwa sana atalalamika kuhujumiwa.
Ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa, kumpoteza maboya mwerevu na mjuaji kupita kiasi.
Hawezi tena kufurukuta, hatakua na muda tena wa kufanya harakati, na hataweza tena kufanya siasa alizokua akizifanya.
Bila shaka atakosa muda, atajikuta tu uchaguzi mkuu 2025 umefika na umekwisha na hatakua na la kufanya. Itamlazimu kuanza upya kujijenga.
Dah, ni kama vile kibogoyo kupewa mfupa ulowashinda fisi waerevu na walafi.
Maskini boss mpya wa TLS, ndio basi tena.
Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Mgonjwa Wewe Sheikh Yahaya Hatuna Mwaisa BwegeNi dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.
Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa, atararuliwa sana atalalamika kuhujumiwa.
Ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa, kumpoteza maboya mwerevu na mjuaji kupita kiasi.
Hawezi tena kufurukuta, hatakua na muda tena wa kufanya harakati, na hataweza tena kufanya siasa alizokua akizifanya.
Bila shaka atakosa muda, atajikuta tu uchaguzi mkuu 2025 umefika na umekwisha na hatakua na la kufanya. Itamlazimu kuanza upya kujijenga.
Dah, ni kama vile kibogoyo kupewa mfupa ulowashinda fisi waerevu na walafi.
Maskini boss mpya wa TLS, ndio basi tena.
Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
hakika una hoja ya maana na muhimu sana isiyojadiliwa🐒TLS nayo ipo tu sijawahi kuona impact yake amepita Lissu Fatuma karume nini kimebadirika imebadirisha nini kwenye Nchi vyama hivi nikama vyama vya serikali pia ikishakua Rais mfumo kama unakubana
Vichaa wakionekana sehemu yoyote wanatambuliwa tu, haihitaji kuwa darasani.mwalimu hapa sio darasani umekosea jukwaa 🐒
mwerevu ung'ang'ana tu na kisichoeleweka,Vichaa wakionekana sehemu yoyote wanatambuliwa tu, haihitaji kuwa darasani.
Sasa najuwa umenikaribisha rasmi; tuendelee na huu ukichaa wako. Nitaueleza hadi mwisho.
mwerevu anasumbuliwa na mihemko bila hoja, mawazo mapya wala fikra mbadala 🤣Yaani we jamaa ni lipumbavu sana aisee pumbavy kbs hivi humu kuna waelevu wanaweza kukuelewa kweli labda mapunguwani menzio ya ccm.
tuliza mihemko kidogo kwanza gentleman 🐒What do you mean by kapewa? Hutaki kukubali kuwa mmekuwa defeated unataka kudanaganya eti siasa ni sayansi kapewa kutulizwa?
Acha ujinga.
Wakati mlitaka hadi kuchakachua? Jamaa kapambana hadi kashinda eti kapewa. We falasi kweli wewe
Wewe ni kichaa. Hilo moja.mwerevu ung'ang'ana tu na kisichoeleweka,
hata haijulikani unazungumzia hoja ipi hali ya kua iliyowasilishwa iko wazi na bayana kabisa 🐒
Uchungu ni hatari!Ni dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.
Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa, atararuliwa sana atalalamika kuhujumiwa.
Ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa, kumpoteza maboya mwerevu na mjuaji kupita kiasi.
Hawezi tena kufurukuta, hatakua na muda tena wa kufanya harakati, na hataweza tena kufanya siasa alizokua akizifanya.
Bila shaka atakosa muda, atajikuta tu uchaguzi mkuu 2025 umefika na umekwisha na hatakua na la kufanya. Itamlazimu kuanza upya kujijenga.
Dah, ni kama vile kibogoyo kupewa mfupa ulowashinda fisi waerevu na walafi.
Maskini boss mpya wa TLS, ndio basi tena.
Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Safi kabsa! Nilikuwa kwenye tukioOna aibu,Mbona kura zake mlizitupa,Mkazima na mfumo wa TLS .Nyokoo.Tuliza kitoa takamwili chako mzee
kwa Imani yangu kuishi ni Kristo kufa ni faida 🐒Uchungu ni hatari!
Pole sana! Usipoangalia utafariki, kubali tu uishi.