Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Nimekuwa nikifatilia namna ya uchezaji wa huyu bwana, hakika Hana uwezo wa kucheza hapo msimbazi. Jamaa ni mweupe mno kwenye maswala ya mpira na Kama siyo uchawi hakika hapati namba kwenye klabu yoyote ya mpira hapa nchini.