Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Hii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza.
Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi za wazi kabisa kana kwamba wamevuta bangi zimewalevya, ni aibu!
Simba msijisifu kumfunga wydad mjisifu kufikisha alama 5 Kama wao walivyojisifu kuwafunga!
Kiufupi pwagu na pwaguzi wakikutana lazima apatikane mbabe!
Ongereni mmejipatia mtibwa wenu Leo🤣🤣🤣