Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Kesho mnakeketwa liveHii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza,
Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi za wazi kabisa kana kwamba wamevuta bangi zimewalevya, ni aibu!
Simba msijisifu kumfunga wydad mjisifu kufikisha alama 5 Kama wao walivyojisifu kuwafunga!
Kiufupi pwagu na pwaguzi wakikutana lazima apatikane mbabe!
Ongereni mmejipatia mtibwa wenu Leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukichomoa huo mwiko uliochomekwa huko nyuma mpaka utauona ukubwa wa SIMBA SPORTS CLUBHii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza,
Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi za wazi kabisa kana kwamba wamevuta bangi zimewalevya, ni aibu!
Simba msijisifu kumfunga wydad mjisifu kufikisha alama 5 Kama wao walivyojisifu kuwafunga!
Kiufupi pwagu na pwaguzi wakikutana lazima apatikane mbabe!
Ongereni mmejipatia mtibwa wenu Leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona unatype huku unalia😂😂😂Hii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza...
Mtawaua Makolokolo, waacheni wapumzike maana si kwa majina hayo [emoji115][emoji1745][emoji851]
Nafikiri mihemko inakusumbua, unapotaja yanga itaje kwa adabu na heshima, yanga sio wydad Wala Simba Ile ni habari nyingine mnaweza mkaungana na wydad na bado mkapewa kichapo vile vile kwa mpira wenu huo mnaoucheza!Kesho mnakeketwa live
WivuHii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza.
Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi za wazi kabisa kana kwamba wamevuta bangi zimewalevya, ni aibu!
Simba msijisifu kumfunga wydad mjisifu kufikisha alama 5 Kama wao walivyojisifu kuwafunga!
Kiufupi pwagu na pwaguzi wakikutana lazima apatikane mbabe!
Ongereni mmejipatia mtibwa wenu Leo🤣🤣🤣
Mbona unaandika kama umekalia kitu kigumu chenye ncha butu vile? Ngojeni kesho mkeketwe vizuriNafikiri mihemko inakusumbua, unapotaja yanga itaje kwa adabu na heshima, yanga sio wydad Wala Simba Ile ni habari nyingine mnaweza mkaungana na wydad na bado mkapewa kichapo vile vile kwa mpira wenu huo mnaoucheza!
Nafikiri mihemko inakusumbua, unapotaja yanga itaje kwa adabu na heshima, yanga sio wydad Wala Simba Ile ni habari nyingine mnaweza mkaungana na wydad na bado mkapewa kichapo vile vile kwa mpira wenu huo mnaouchezaKesho mnakeketwa live
Ukubwa wake umeonekana kweli kwa kucheza na mtibwa aliyechangamka, tengenezeni timu mtakuja kunishukuru badae, wydad hii sio kipimo Cha ubora wenu endeleeni kushupaza shingo kwa hisani ya mangungu shauri yenu!Ukichomoa huo mwiko uliochomekwa huko nyuma mpaka utauona ukubwa wa SIMBA SPORTS CLUB
Ngariba akeketwi labda yeye ndiye anayekeketa kwa maana iyo kaa ukisubilia meli airport yanga sio timu ya sandakarawe brother nafikiri unaijua vizuri sana unajitahidi kujitoa ufahamu!Mbona unaandika kama umekalia kitu kigumu chenye ncha butu vile? Ngojeni kesho mkeketwe vizuri
Wanakosa form kwenye mechi ngapi? Ukiangalia wydad unaona kabisa ni timu ambayo Ina shida kubwa kuanzia kwa aina ya mifumo wanayotumia, Hali ya upambanaji Iko chini sana, wachezaji ni Kama vile Kuna kitu akipo sawa kwa upande wao, watafute suluhisho mapema vinginevyo Hali yao itakuwa mbaya zaidi uko mbeleni!Form is permanent but class is temporary, wydad kwa sasa wanakosa form lakini ni team nzuri na kubwa africa.
Pole sana Kamwe, wiki utakuwa na wakati mgumu sana. Kesho ukishinda sana ni draw.Hii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza.
Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi za wazi kabisa kana kwamba wamevuta bangi zimewalevya, ni aibu!
Simba msijisifu kumfunga wydad mjisifu kufikisha alama 5 Kama wao walivyojisifu kuwafunga!
Kiufupi pwagu na pwaguzi wakikutana lazima apatikane mbabe!
Ongereni mmejipatia mtibwa wenu Leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nafikiri utambui na unachokiongea, kumbuka unawaongelea mabingwa wa nchi wanaokuzidi ubora Kila idara, Sasa usilinganishe kichuguu na mlima utakuwa unafurahisha genge tu!Pole sana Kamwe, wiki utakuwa na wakati mgumu sana. Kesho ukishinda sana ni draw.