Ama M23 wataiteka Goma au majeshi ya SADC yataingia Ikulu Kigali

Ama M23 wataiteka Goma au majeshi ya SADC yataingia Ikulu Kigali

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Hapa itatokea moja kati ya hayo mawili.

M 23 wakishindwa kuiteka Sake na Goma,jeshi la SADC litakwenda Ikulu Kigali.

Mpaka sasa jeshi la SADC ndio lina nafasi nzuri ya kushinda. Lina uwezo mkubwa,pia linasaidiwa na Urusi.

Mambo wanayofanya M 23 siyo Democratic,kwa hiyo nadhani Warusi wanataka kuhakikisha kuwa inakuwepo democracy Kongo.

Kwa hiyo Warusi wanataka kuleta....er...Russian Democracy katika nchi ya DRC.
 
Tactics za kijeshi za jamii forum ziko more advanced kuliko kile kinachotokea on battle field mambo uwa ayako hivyo jeshi linaongozwa na amri pamoja na permission za kuengage sio ukijisikia kulusha bomu unalusha popote mambo ayako hivyo.
Ahahahah.
Yan hii vita wangepewa majeneral wa hapa JF, zamaaaaani kagame alishapinduliwa na Rwanda ishakua mkoa wa Tanzania 😂😂😂
 
Rwanda ni sawa na wilaya ya sikonge mkoani tabora,wahuni wakiamua kukichafua,ni mwendo wa 60km tu kufika ikulu,Rwanda imekaa vibaya sana
[emoji1787][emoji1787] usijidanganye na ukubwa wa kijiografia kijana angalia nchi za ulaya nyingi zina eneo dogo kijiografia lakini uchumi wao tunapokea misaada kila siku kutoka kwao.
 
Ahahahah.
Yan hii vita wangepewa majeralo wa hapa JF, zamaaaaani kagame alishapinduliwa na Rwanda ishakua mkoa wa Tanzania 😂😂😂
Kha,hujui kama huko na Burundi ni mikoa yetu.
Hakuna haja kupindua.
Suma JKT wakivutishwa mibangi yao,watapiga kila kitu hapo chigali na hata Congo.
Uzuri Congo na Burundi hatuna ugomvi wowote.
Hata Rwanda ni wanetu tu.
Ndo mana huoni kuna vita huko tunashiriki.
 
[emoji1787][emoji1787] usijidanganye na ukubwa wa kijiografia kijana angalia nchi za ulaya nyingi zina eneo dogo kijiografia lakini uchumi wao tunapokea misaada kila siku kutoka kwao.
Sizungumzii uchumi,nazungumzia watu wakiamua kukinukisha,yaani Rwanda hapatakalika,vurugu nchi nzima
 
Back
Top Bottom