yvegenc prymacov
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,530
- 1,961
Wewe unafikiri ni ngumu?Umeandika kiushabiki sana unadhani kwenda Kigali ni kama kunywa chai kwa mama lishe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unafikiri ni ngumu?Umeandika kiushabiki sana unadhani kwenda Kigali ni kama kunywa chai kwa mama lishe?
Leta maneno Brother, vipi jamaa kapuyanga au ndio ukweli wenyewe?Nipo kivu mda huu 🤣🤣
Siyo ngumu tu ila ni "impossible "Wewe unafikiri ni ngumu?
Mmmmh tafuta uzi wangu wa mabraza wa kkoo na dili zao......nimeelezea safari yangu ya kivu kusiniLeta maneno Brother, vipi jamaa kapuyanga au ndio ukweli wenyewe?
Kwahiyo hamuoi kwetu 🤣🤣🤣Dah Rwanda inachukiwa sana.... Nadhani sababu ni raisi wake!!!
Ifike point uongozi uache kuwaponza raia wake,
USHUHUDA:
niliwahi msikia mama wa rafiki yangu akimpa ushauri mwanae wa kiume kwamba "kwenye maisha yako usijeoa mtusi"
nilivunga sijasikia lakini ile kitu huwa inanisumbua Sana mpk leo........ Viongozi wasituchonganishe jaman, ifike point mambo yao wasihusishwe raia wasio na hatia
Kwahiyo hamuoi kwetu 🤣🤣🤣
Sizungumzii uchumi,nazungumzia watu wakiamua kukinukisha,yaani Rwanda hapatakalika,vurugu nchi nzima
DRC wakiamua kuja kufanya fujo Rwanda wanawezaNani ataamua wakati wote ni mbwa koko,fida ukikaa vibaya inakuumbua hata kama wewe unajiona ni giant muulize urusi.
We jamaa unakuwaga bonge la muongo muongo sana🤣Nipo kivu mda huu 🤣🤣
Wewe unaota Ndoto za mchana, Kigali hauijui hata kidogo. hao M23 wenyewe Kishekedi na Majeshi yake yooote, Akisaidiwa na Jeshi la Burundi, Akisaidiwa na Kundi zima la Wazalendo ambalo ni mkusanyiko wa makundi ya wapiganaji yapatayo 120, Ongezea kikosi kutoka SA, Ongezea Kikosi kutoka Malawi, Ongezea Kikosi kutoka TZ na Jeshi zima la Monusco hao wote wameshindwa hata kuchukua mita 100 za M23 halafu eti wataenda Kigali, you dont know what you are saying.Hapa itatokea moja kati ya hayo mawili.
M 23 wakishindwa kuiteka Sake na Goma,jeshi la SADC litakwenda Ikulu Kigali.
Mpaka sasa jeshi la SADC ndio lina nafasi nzuri ya kushinda. Lina uwezo mkubwa,pia linasaidiwa na Urusi.
Mambo wanayofanya M 23 siyo Democratic,kwa hiyo nadhani Warusi wanataka kuhakikisha kuwa inakuwepo democracy Kongo.
Kwa hiyo Warusi wanataka kuleta....er...Russian Democracy katika nchi ya DRC.
Mm bongeee la muongo mkuuWe jamaa unakuwaga bonge la muongo muongo sana🤣
Mkuu......ushawahi kufika kivu kaskazini........mbona unatupanga sana.......na sisi tupo kivu mda huuWewe unaota Ndoto za mchana, Kigali hauijui hata kidogo. hao M23 wenyewe Kishekedi na Majeshi yake yooote, Akisaidiwa na Jeshi la Burundi, Akisaidiwa na Kundi zima la Wazalendo ambalo ni mkusanyiko wa makundi ya wapiganaji yapatayo 120, Ongezea kikosi kutoka SA, Ongezea Kikosi kutoka Malawi, Ongezea Kikosi kutoka TZ na Jeshi zima la Monusco hao wote wameshindwa hata kuchukua mita 100 za M23 halafu eti wataenda Kigali, you dont know what you are saying.
Kwa taarifa yako sasa, vijana wenu wanateketezwa kila kukicha, jana tu APC mbili za TZ zimeunguzwa na waliokuwemo ndani hakutoa mtu. Sasa kama M23 inawatoa kamasi ndio waende Kigali!! Hakuna kitu kama hicho.
Naona unatusemea banyamulengeWa TUTSI wa March 23 lazima muwaache wadai nchi yao, na hawatapoa mpaka nao wapate ardhi yao, wale sio WAmasai mnao waamishi kila siku.
M23 waachwe wapigane kama HAMAS, Hata wakifa waote tutawakumbuka kwa juhidi na harakati zao.
Mipepe ya jkt😁😁Kha,hujui kama huko na Burundi ni mikoa yetu.
Hakuna haja kupindua.
Suma JKT wakivutishwa mibangi yao,watapiga kila kitu hapo chigali na hata Congo.
Uzuri Congo na Burundi hatuna ugomvi wowote.
Hata Rwanda ni wanetu tu.
Ndo mana huoni kuna vita huko tunashiriki.
DRC wakiamua kuja kufanya fujo Rwanda wanaweza
Wewe unaota Ndoto za mchana, Kigali hauijui hata kidogo. hao M23 wenyewe Kishekedi na Majeshi yake yooote, Akisaidiwa na Jeshi la Burundi, Akisaidiwa na Kundi zima la Wazalendo ambalo ni mkusanyiko wa makundi ya wapiganaji yapatayo 120, Ongezea kikosi kutoka SA, Ongezea Kikosi kutoka Malawi, Ongezea Kikosi kutoka TZ na Jeshi zima la Monusco hao wote wameshindwa hata kuchukua mita 100 za M23 halafu eti wataenda Kigali, you dont know what you are saying.
Kwa taarifa yako sasa, vijana wenu wanateketezwa kila kukicha, jana tu APC mbili za TZ zimeunguzwa na waliokuwemo ndani hakutoa mtu. Sasa kama M23 inawatoa kamasi ndio waende Kigali!! Hakuna kitu kama hicho.
Kongo tajiri mno lakini m23 wanatumika kwa maslahi ya wazee wachache duniani. Sio sawa kabisa. Nadhani hii nchi ikifanikiwa kutumia rasilimali zake za asili(madini) vizuri, itakua ndio nchi tajiri Afrika na dunia ikawapa heshima yake.....sema ndo hvo tena