Ama M23 wataiteka Goma au majeshi ya SADC yataingia Ikulu Kigali

Ama M23 wataiteka Goma au majeshi ya SADC yataingia Ikulu Kigali

DRC ni failed state,igawanywe tu itoe inch ndogo ndogo zinazoweza kujisimamia.
Kumbe wapo 112milioni, duuh asee kumbe lile liinchi ni kubwa mnooo.....hii kuigawa sio ndio italeta noma zaidi?? Mana jamaa watakua wanabutua sasa badala ya kupiga....
 
Wewe unaota Ndoto za mchana, Kigali hauijui hata kidogo. hao M23 wenyewe Kishekedi na Majeshi yake yooote, Akisaidiwa na Jeshi la Burundi, Akisaidiwa na Kundi zima la Wazalendo ambalo ni mkusanyiko wa makundi ya wapiganaji yapatayo 120, Ongezea kikosi kutoka SA, Ongezea Kikosi kutoka Malawi, Ongezea Kikosi kutoka TZ na Jeshi zima la Monusco hao wote wameshindwa hata kuchukua mita 100 za M23 halafu eti wataenda Kigali, you dont know what you are saying.
Kwa taarifa yako sasa, vijana wenu wanateketezwa kila kukicha, jana tu APC mbili za TZ zimeunguzwa na waliokuwemo ndani hakutoa mtu. Sasa kama M23 inawatoa kamasi ndio waende Kigali!! Hakuna kitu kama hicho.
Acha war propaganda unadanganya watu , APC sio land cruiser au vitz iunguzwe kirahisi hivyo na watu wasitoke, kawadanganye wasiojua
Labda wamefanikiwa kuzidamage
 
Mipepe ya jkt😁😁
Mwana ni noma ukitoka huko wanajikuta wa Comandoo,
Unapiga mpk nzi bomu.
Wawasakizie tu hiyo kazi.
Sasa hao wakipelekwa huko ni balaa.
Jwtz bado.
Tpdf bado
Kmkm bado.

Sema ndo hivyo hatuingilii mambo yasiyotuhusu.
Na walioko huko wanapigana kwa niaba ya Sadc,au monusco au Unicef.
Wanalipwa vizuri tu na mashirika ya kimataifa.
So hawawakilishi jeshi la bongo.
Wanatafuta chao wasepe.
 
[emoji1787][emoji1787] usijidanganye na ukubwa wa kijiografia kijana angalia nchi za ulaya nyingi zina eneo dogo kijiografia lakini uchumi wao tunapokea misaada kila siku kutoka kwao.
Unafananisha uwezo wa mataifa ya Ulaya na Rwanda ambayo madaktari wake hupokea mafunzo Muhimbili University??
Huwezi kuwa serious wewe.
 
Wewe unaota Ndoto za mchana, Kigali hauijui hata kidogo. hao M23 wenyewe Kishekedi na Majeshi yake yooote, Akisaidiwa na Jeshi la Burundi, Akisaidiwa na Kundi zima la Wazalendo ambalo ni mkusanyiko wa makundi ya wapiganaji yapatayo 120, Ongezea kikosi kutoka SA, Ongezea Kikosi kutoka Malawi, Ongezea Kikosi kutoka TZ na Jeshi zima la Monusco hao wote wameshindwa hata kuchukua mita 100 za M23 halafu eti wataenda Kigali, you dont know what you are saying.
Kwa taarifa yako sasa, vijana wenu wanateketezwa kila kukicha, jana tu APC mbili za TZ zimeunguzwa na waliokuwemo ndani hakutoa mtu. Sasa kama M23 inawatoa kamasi ndio waende Kigali!! Hakuna kitu kama hicho.
Mbona unaropoka sana na umeongea mambo ya kishabiki YASIO NA UKWELI HATA KIDOGO!?
Hao m23 2013 nani aliwapiga kama sio JWTZ?
SADC ikiamua kupitia jeshi la TPDF tu KIGALI INAKUA CHINI DAKIKA SIFURI TU hutaki kunya boga
 
Rwanda ni sawa na wilaya ya sikonge mkoani tabora,wahuni wakiamua kukichafua,ni mwendo wa 60km tu kufika ikulu,Rwanda imekaa vibaya sana
Nakumbuka miaka ya nyuma nikiwa MEast kuna wakati Bahrain na Qatar walitaka kuzichapa nao ukubwa wa nchi zao Qatar ni 4,468 Sq mi na Bahrain ni 268sq mile
Sasa kaka yao mkubwa akawaita na kuwaambia mkiendeleza huu ujinga nchi zenu mbili ntaziweka chini ya mamlaka yangu
Yaani ubabe ubabe na wao wakatulia kimya
Sasa haka Kapaka hatuwezi kumwambia tulia wewe
 
Ulikua Manama au Doha mkuu 🤣🤣🤣
 
Dah Rwanda inachukiwa sana.... Nadhani sababu ni raisi wake!!!
Ifike point uongozi uache kuwaponza raia wake,
USHUHUDA:
niliwahi msikia mama wa rafiki yangu akimpa ushauri mwanae wa kiume kwamba "kwenye maisha yako usijeoa mtusi"
nilivunga sijasikia lakini ile kitu huwa inanisumbua Sana mpk leo........ Viongozi wasituchonganishe jaman, ifike point mambo yao wasihusishwe raia wasio na hatia
Watusi ni akili kubwa
 
Humzidi DRC matumizi kwenye silaha,akiweka watu elfu 3 mpakani,elfu 5 katikati ya Rwanda hamtakaa hapo,mtakimbilia Tanzania tuwafuge Kama ng'ombe

Hoja ni kwamba pamoja na silaha na wanajeshi mbona bado wanalialia hadi leo na M23 wakiendelea kushika maeneo mengi na hapo rwanda hawajadhubutu kuvuka hata nuka ya mpaka
 
Mkuu.....vp ulikua kwenye mfumo wa kafara.......mambo ya kunyanganyana mpaka paspoti.
Maana waarabu wa Hafar,Manama na Doha ndio zao...
Nawaonea huruma sana wapakstan na wanepal
Ooh please
Unapajua Hafar Al Batin kuna kambi kubwa sana ya jeshi huko
Haya ya kafara ndio yapi tena?
Dunia hii nimeanza kuizunguka tangu 1977
Doha nimepita na hivi karibuni nilikuwa huko na wameanza kuwachuja wahindi katika kazi zote za labour
Nimewaona wakenya wengi sana kuanzia Airport, vituo vya mafuta wao, mpaka mahoteli wamejaa wao ndio wahudumu na sasa wanaanza kuchukua wajenzi wabeba zege toka Kenya

Sisi eti wafanyakazi wa ndani ili wakateseke na passport kuzuiliwa kisa lugha ya kiingereza
Aisee hamasisheni vijana wasoma hata lugha tu maana fursa zipo nje nje
Wahindi wamekuwa wabinafsi na waizi sana
Akipewa kazi analeta wahindi tu na mwisho kazi hawafanyi na waarabu wanawaogopa wasije wakawafanyia fujo kama maandamano

UAE kuna Asians wengi kuliko wazawa na hiyo inatisha
 
Back
Top Bottom