Kila anaesema ukweli ni stori za madrasa.stor za madrasa
Hiyo Israel kafuatilie mpaka bajeti ya nchi inatoka USA zaidi ya $5 billion ya ulinzi pia inatoka USA .
Oktoba 7 hamas ilipovamia US navy walileta manowari tatu na askari maji zaidi ya 2000 ghuba ya middle east kuisapoti Israel.
Hiyo Israel unayoisifia narudia tena haina ubavu bila mabwana zake na yeye huonea wanyonge tu ila mwenye ubavu wa kumpinga hathubutu mathalan Hizbollah Lebanon na Iran.