Umslopagas
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 209
- 152
Yaani hadithi za Idi Amini za karne iliyopita mpaka leo ndio reference, pole sana. Sasa unaposema Rwanda angejaribu aone.....atajaribu nini wakati hamjatoa hayo mafunzo. Achana na story za sentients wewe nanga.80% ya Wananchi wa Rwanda ni Wahutu.
nchi kama Tanzania zinatumia Hekima kudeal na Rwanda, tungeamua kutumia Silaha ya Ukabila tungewachukua hao Waasi wa Kihutu na kuwapea Mafunzo kigoma na Kagera, kama Rwanda Mwanaume angejaribu aone, the same approach tulifanya Uganda, Iddi Amini alipojichanganya tu mzikia akausoma
Ni kirusi kwa taifa letu.Hata kama ningekua mnyarwanda kuna sheria yeyote ya nchi nimeivunja mkuu?
Halafu wewe juha kweli kweli, hujui lolote nimekwisha kugundua. Kwa taarifa yako hiyo vita kati ya DRC/Angola/Zimbabwe etc vs Rwanda, Uganda ilikuwa ni jina tu hawakushiriki kikamilifu walijiegesha tu, kwani walipeleka platoon moja ya Mizinga na haikupigana hata siku moja boss wao M7 mwenyewe alikuwa amekwepa kuingia vitani akitaka Rwanda ipigwe na kwasababu hiyo hicho ki platoon chake cha askari 31 hakikurusha hata kombola moja. Hiyo Vita kwa taarifa yako ilikuwa heavy haijawahi kutokea labda kwenye WWI&II. Anyway Rwanda iribidi ifanye withdraw kupitia Angola through Maquela de Zombo ni baada ya kuzidiwa kwa vifaa na Manpower kwani Supply yao ilikuwa mbali sana zaidi ya 2000km wakati wapinzani wao walikuwa wanaingiza askari na vifaa kwa ma mia na maelfu from just across the boarder. At one point the manpower ratio wa 1:120. Pamoja na hayo Withdraw ya Rwandan forces ilikuwa out of this World. Anyway kuingia kwa Angola na Zimbabwe kwa upande wa DRC hakukutarajiwa na ndio ili wasimamisha Rwanda kuchukua DRC kwa mara nyingine tena na changamoto ilikuwa distance kutoka home base. So Angola na Zimbabwe wanaujua fika muziki wa RDF.Mkuu kumbe unasoma makala za watu na hujawahi kuishi Rwanda au Burundi au Zaire....!!!!Kama hujawahi kua battle front bas tusijadiliane........mm nimeshuhudia battle 17 kati ya waangola na wazimbabwe dhidi ya wanyarwanda na waganda....maeneo tofauti tofauti ya zaire.........nimekuuliza kumbe wewe unasoma vijarida tu mkuu!!!
Kuna watanzania wenye asili za mataifa mangapi nchi hii kuacha wanyarwanda? Tuna wahindi , warabu , wasomali , waingerrza na wengi wenginee kwanini iwe tu wanyarwanda. Naona hio sumu uliyomezeshwa kwa hawa binadamu wenzetu kali sana. Tuishi kwa upendo hii dunia ya Mungu sioni sababu ya kumchukia mtu bila sababu. Personally ukiulizwa wewe mnyarwanda amewahi kukufanyia jambo gani baya unaweza kuwa na jawabu?Ni kirusi kwa taifa letu.
Tutsi amewahi kukufanyia kitu gani yeyote mbaya wewe personal? Kwanini unamchukia?Amerusha jiwe gizani likakukurupua we Tutsi.
Lakini hii story eti Kikwete aliwazima inapendwa kweli kweli humu ndani ya JF. But huwa nashangaa kama aliwazima sasa wametokea wapi tena. Hivi vita gani utashinda na kumzima adui yako kisawasawa kama tunavyojigamba lakini usiweze kamata mateka hata askari mmoja, usiweze kuonyesha hata maiti moja, usiweze hata kukamata silaha zao.... Hebu jaribu ku tafakari uondoe ushabiki, A Total Military defeat bila kukamata salaha za adui au askari wake wote au basi sehemu kubwa ya hao Askari. What happened jamaa wa M23 walipotea tu na silaha zao zote zikiwa intact. wakisubiri muda muafaka wakurudi tena wakiwa wamejiaandaa na kujizatiti barabara wakijua fika nguvu za adui. Ndio maana sasa hivi wako vizuri na wanachachafya kweli kweli, Mbona sasa vikosi vile vile vya TZ SA, Malawi wanashindwa kuwapiga tena? Ina maana wanawaonea huruma? Kwani ndicho kilichowapeleka? Wameshindwa kuwanyanganya hata ka mji kamoja, Sana sana wanaishia kuwa squeezed ndani ya Goma. Hebu tusubiri tuone maana sasa wameletwa black what sijui!Mh Kikwete aliwazima ndani ya siku moja ni kwamba tu watu hawajaamua
Daah umeelezea vizuri sana ila sisi watanzania wengi hatuja take time kufanya ufuatiliaji wa huu mgogoro. Kujua kiini na tatizo la msingi lipo wapi? Tunatakiwa kufanya nini kutatua mzozo? Vita siyo suluhisho maana Rais wa Congo anatafuta muafaka kwa kuwakataa raiyaa wa Congolese nyarwanda speaking communities. Whitish wrong. Hataki majadiliano basi hawana namna zaidi ya kujilinda na kujitetea.Lakini hii story eti Kikwete aliwazima inapendwa kweli kweli humu ndani ya JF. But huwa nashangaa kama aliwazima sasa wametokea wapi tena. Hivi vita gani utashinda na kumzima adui yako kisawasawa kama tunavyojigamba lakini usiweze kamata mateka hata askari mmoja, usiweze kuonyesha hata maiti moja, usiweze hata kukamata silaha zao.... Hebu jaribu ku tafakari uondoe ushabiki, A Total Military defeat bila kukamata salaha za adui au askari wake wote au basi sehemu kubwa ya hao Askari. What happened jamaa wa M23 walipotea tu na silaha zao zote zikiwa intact. wakisubiri muda muafaka wakurudi tena wakiwa wamejiaandaa na kujizatiti barabara wakijua fika nguvu za adui. Ndio maana sasa hivi wako vizuri na wanachachafya kweli kweli, Mbona sasa vikosi vile vile vya TZ SA, Malawi wanashindwa kuwapiga tena? Ina maana wanawaonea huruma? Kwani ndicho kilichowapeleka? Wameshindwa kuwanyanganya hata ka mji kamoja, Sana sana wanaishia kuwa squeezed ndani ya Goma. Hebu tusubiri tuone maana sasa wameletwa black what sijui!
Maelezo.....meengi.......umeyatoa kwenye majarida na makala.......yawezekana 1997 mpaka 1999 ulikua primary school!!!!Halafu wewe juha kweli kweli, hujui lolote nimekwisha kugundua. Kwa taarifa yako hiyo vita kati ya DRC/Angola/Zimbabwe etc vs Rwanda, Uganda ilikuwa ni jina tu hawakushiriki kikamilifu walijiegesha tu, kwani walipeleka platoon moja ya Mizinga na haikupigana hata siku moja boss wao M7 mwenyewe alikuwa amekwepa kuingia vitani akitaka Rwanda ipigwe na kwasababu hiyo hicho ki platoon chake cha askari 31 hakikurusha hata kombola moja. Hiyo Vita kwa taarifa yako ilikuwa heavy haijawahi kutokea labda kwenye WWI&II. Anyway Rwanda iribidi ifanye withdraw kupitia Angola through Maquela de Zombo ni baada ya kuzidiwa kwa vifaa na Manpower kwani Supply yao ilikuwa mbali sana zaidi ya 2000km wakati wapinzani wao walikuwa wanaingiza askari na vifaa kwa ma mia na maelfu from just across the boarder. At one point the manpower ratio wa 1:120. Pamoja na hayo Withdraw ya Rwandan forces ilikuwa out of this World. Anyway kuingia kwa Angola na Zimbabwe kwa upande wa DRC hakukutarajiwa na ndio ili wasimamisha Rwanda kuchukua DRC kwa mara nyingine tena na changamoto ilikuwa distance kutoka home base. So Angola na Zimbabwe wanaujua fika muziki wa RDF.
Eti umeshuhudia battle 17, zawapi hizo? Kitona, Njili, Pweto, Maquela de Zombo. Unadakia dakia tu kila kitu hata usivyovijua. Njoo tukupe script nzima hapa maveterans wa Operation Kitona.
Dogo kama hujui tuulize sisi tunaowafahamu kiundani wanyarwanda......Kikawaida... ....M23 ni jeshi la akiba la RDF.....wakizidiwa waga wanavuka mpaka na kuingia rwanda kujipanga upya.Lakini hii story eti Kikwete aliwazima inapendwa kweli kweli humu ndani ya JF. But huwa nashangaa kama aliwazima sasa wametokea wapi tena. Hivi vita gani utashinda na kumzima adui yako kisawasawa kama tunavyojigamba lakini usiweze kamata mateka hata askari mmoja, usiweze kuonyesha hata maiti moja, usiweze hata kukamata silaha zao.... Hebu jaribu ku tafakari uondoe ushabiki, A Total Military defeat bila kukamata salaha za adui au askari wake wote au basi sehemu kubwa ya hao Askari. What happened jamaa wa M23 walipotea tu na silaha zao zote zikiwa intact. wakisubiri muda muafaka wakurudi tena wakiwa wamejiaandaa na kujizatiti barabara wakijua fika nguvu za adui. Ndio maana sasa hivi wako vizuri na wanachachafya kweli kweli, Mbona sasa vikosi vile vile vya TZ SA, Malawi wanashindwa kuwapiga tena? Ina maana wanawaonea huruma? Kwani ndicho kilichowapeleka? Wameshindwa kuwanyanganya hata ka mji kamoja, Sana sana wanaishia kuwa squeezed ndani ya Goma. Hebu tusubiri tuone maana sasa wameletwa black what sijui!
Kuna sababu kwanini banyamulenge hawaonekani kama raia wa DRC.......nenda kivu kusini au kivu kaskazini utajuaDaah umeelezea vizuri sana ila sisi watanzania wengi hatuja take time kufanya ufuatiliaji wa huu mgogoro. Kujua kiini na tatizo la msingi lipo wapi? Tunatakiwa kufanya nini kutatua mzozo? Vita siyo suluhisho maana Rais wa Congo anatafuta muafaka kwa kuwakataa raiyaa wa Congolese nyarwanda speaking communities. Whitish wrong. Hataki majadiliano basi hawana namna zaidi ya kujilinda na kujitetea.
Sasa nani juha????Halafu wewe juha kweli kweli, hujui lolote nimekwisha kugundua. Kwa taarifa yako hiyo vita kati ya DRC/Angola/Zimbabwe etc vs Rwanda, Uganda ilikuwa ni jina tu hawakushiriki kikamilifu walijiegesha tu, kwani walipeleka platoon moja ya Mizinga na haikupigana hata siku moja boss wao M7 mwenyewe alikuwa amekwepa kuingia vitani akitaka Rwanda ipigwe na kwasababu hiyo hicho ki platoon chake cha askari 31 hakikurusha hata kombola moja. Hiyo Vita kwa taarifa yako ilikuwa heavy haijawahi kutokea labda kwenye WWI&II. Anyway Rwanda iribidi ifanye withdraw kupitia Angola through Maquela de Zombo ni baada ya kuzidiwa kwa vifaa na Manpower kwani Supply yao ilikuwa mbali sana zaidi ya 2000km wakati wapinzani wao walikuwa wanaingiza askari na vifaa kwa ma mia na maelfu from just across the boarder. At one point the manpower ratio wa 1:120. Pamoja na hayo Withdraw ya Rwandan forces ilikuwa out of this World. Anyway kuingia kwa Angola na Zimbabwe kwa upande wa DRC hakukutarajiwa na ndio ili wasimamisha Rwanda kuchukua DRC kwa mara nyingine tena na changamoto ilikuwa distance kutoka home base. So Angola na Zimbabwe wanaujua fika muziki wa RDF.
Eti umeshuhudia battle 17, zawapi hizo? Kitona, Njili, Pweto, Maquela de Zombo. Unadakia dakia tu kila kitu hata usivyovijua. Njoo tukupe script nzima hapa maveterans wa Operation Kitona.
Dogo ulivyo na akili fupi za kusoma majarida afu unajifanya mjuaji.....unawapangia wanajeshi wa JWTZ cha kufanya???Lakini hii story eti Kikwete aliwazima inapendwa kweli kweli humu ndani ya JF. But huwa nashangaa kama aliwazima sasa wametokea wapi tena. Hivi vita gani utashinda na kumzima adui yako kisawasawa kama tunavyojigamba lakini usiweze kamata mateka hata askari mmoja, usiweze kuonyesha hata maiti moja, usiweze hata kukamata silaha zao.... Hebu jaribu ku tafakari uondoe ushabiki, A Total Military defeat bila kukamata salaha za adui au askari wake wote au basi sehemu kubwa ya hao Askari. What happened jamaa wa M23 walipotea tu na silaha zao zote zikiwa intact. wakisubiri muda muafaka wakurudi tena wakiwa wamejiaandaa na kujizatiti barabara wakijua fika nguvu za adui. Ndio maana sasa hivi wako vizuri na wanachachafya kweli kweli, Mbona sasa vikosi vile vile vya TZ SA, Malawi wanashindwa kuwapiga tena? Ina maana wanawaonea huruma? Kwani ndicho kilichowapeleka? Wameshindwa kuwanyanganya hata ka mji kamoja, Sana sana wanaishia kuwa squeezed ndani ya Goma. Hebu tusubiri tuone maana sasa wameletwa black what sijui!
Dah noma..98 hiyo braza naona hata aibu kusema nilikua wapi.😂Sasa nani juha????
Wewe ambae umeadithiwa na kusoma vijarida na makala....au mimi ambae mwaka 1998 nilikua Kisangani natafuta maisha kwa kununua dhahabu za magendo......na ninasaidia kutoa maiti barabarani za wanajeshi wa pande zote mbili na za raia.......baada ya kutelekezwa na kila upande......wakati huo 1998. wewe upo primary au secondary?????
Hawa madogo wa vyuo wanajifanya wajuaji...,......mm 1998 umri wangu ni kijana mdogo ila nipo kisangani natafuta ugali.......ipo siku nitaadithia kwenye nyuzi zangu mkuu.Dah noma..98 hiyo braza naona hata aibu kusema nilikua wapi.😂
Mkuu Nelson mwaga madini yote hapa tujue mbivu na mbichiHawa madogo wa vyuo wanajifanya wajuaji...,......mm 1998 umri wangu ni kijana mdogo ila nipo kisangani natafuta ugali.......ipo siku nitaadithia kwenye nyuzi zangu mkuu.
Nitamwaga leo kwenye uzi wangu kule mabraza wa kkoo.Mkuu Nelson mwaga madini yote hapa tujue mbivu na mbichi
Sure..sema huwa unaanza vizuri halaf unapotelea mitiniHawa madogo wa vyuo wanajifanya wajuaji...,......mm 1998 umri wangu ni kijana mdogo ila nipo kisangani natafuta ugali.......ipo siku nitaadithia kwenye nyuzi zangu mkuu.
Hakuna sababu. Nikuulize swali hivi wamasai wa kwenya na wamasai wa Tanzania inawezekanaje nchi moja ikatae na kusema siyo raia? Kwa sababu ya mipaka ya nchi? Nani alichagua kuwa mmasai wa Kenya na nani alichagua kuwa masai wa Tanzania?Kuna sababu kwanini banyamulenge hawaonekani kama raia wa DRC.......nenda kivu kusini au kivu kaskazini utajua
Mambo mengi.......nipo Kivu kusini right now.....huku kumewaka sio kitotoSure..sema huwa unaanza vizuri halaf unapotelea mitini
Kuna sababu......na sababu ni ukabila......kati ya jamii za wakongo na jamii za kinyarwanda......Ukabila na ujinga ndio sababuHakuna sababu. Nikuulize swali hivi wamasai wa kwenya na wamasai wa Tanzania inawezekanaje nchi moja ikatae na kusema siyo raia? Kwa sababu ya mipaka ya nchi? Nani alichagua kuwa mmasai wa Kenya na nani alichagua kuwa masai wa Tanzania?