Ama M23 wataiteka Goma au majeshi ya SADC yataingia Ikulu Kigali

Salute, Mkuu Malcom Lumumba long time
 
Kuna sababu......na sababu ni ukabila......kati ya jamii za wakongo na jamii za kinyarwanda......Ukabila na ujinga ndio sababu
Siyo kweli nakukatalia hii inatengenezwa na utawala wa Congo ili kuwatafutia sababu ya kuwakataa wacongomani wanaozungumza kinyarwanda.
 
Wewe ni bure kabisa, story zako zoote ni za uzushi mtupu, umeng'ang'ania eti ulikuwa mnunuzi wa dhahabu duuu! Mfanyabiashara ya dhahabu ndani ya JF, hio ndio umeona mbinu ya kudanganya watu kwamba unaifahamu Congo, bure kabisa. Hayo majarida na magazeti unayo yatajataja ndio yapi hayo? mimi siyajui, isijekuwa ndio source zako maana story imekuwa moja tuu, eti natafuta maisha kwa kununua dhahabu. Kwenye battle field na biashara ya dhahabu wapi na wapi. Kijana sina muda wa kubishana na wewe tena ila kwa taarifa yako hapa unaongea na veterani wa operetion Kitona alietua na ndege ya pili. Japo nimekwisha staafu lakini nafahamu mengi kuhusu huu mgogoro, nafuatilia kwa karibu sana na nina vyanzo vya habari kutoka kwa wahusika wenyewe waliopo front line. Right now kuna mambo mengi sana mnafichwa kwani ni siri za kijeshi, especially habari zinazo husiana na hivi vikosi vyote vinavyopigana huko iwe ni M23, Wagner, Burundi, Wazalendo, Fardc,Fdlr,Sa,Tz,Ml I have more information and accurate ones about what is going on in congo, kwa bahati mbaya sana humu jf watu wengi ni mashabiki tuu, na watu wa ma sentiment, Hatufanyi hata simple analysis.
 
Eti "Madogo wa JF" nani dogo hapa? humu JF umeingia hujakaa hata miezi 13 lakini una post karibu 9k hivi hauna kazi nyingine? Halafu unajiita mfanyabiashara wa dhahabu duuuu, sasa dogo ni nani kati ya mtu alie ingia humu mwaka jana na mtu yuko humu kwa zaidi ya miaka 10, Au una multiple ID's kijana. Bahati mbaya siwezi kupata muda wa kutosha kutokana na kazi zangu za kilasiku hapa Bukavu ningekupatia news zenyewe for free na kukuonyesha jinsi ulivyo short informed bwana Kagame.
 
Dogo......hata zaire hupajui.....kelele nyingi........mwaks 1998 mpaka 2003 ww si ulikua unadeka deka kwa wazee wako huko Tanzania 🀣🀣🀣
 
Sasa dogo ww kukaa JF jukwaa la kuhabarishana miaka kumi ndio kuijua dunia........Kaka zako tumeanza kuijua dunia hata simu za mkononi hatuna......!!!Sisi tupo North Kivu na South Kivu since 1992.....utatuambia nn wandewa kuhusu Zaire"
Kama huijui Zaire yetu kaa kimya.....,..
 
Siyo kweli nakukatalia hii inatengenezwa na utawala wa Congo ili kuwatafutia sababu ya kuwakataa wacongomani wanaozungumza kinyarwanda.
HATA KABLA YA WAKOLONI KUJA MAKABILA YOTE YA KONGO NA UKANDA WA MAZIWA MAKUU YALIKUA YANABAGUANA NA MPAKA KESHO WANABAGUANA............KWANI WANYARWANDA WAMEANZA KUKAA MAENEO YA KIVU JANA AU LEO????
WAMEKAA PALE MIAKA ZAIDI YA 1500.
WANABAGULIWA SABABU HATA WAO WANAWABAGUA MAKABILA MENGINE
HUO UTAWALA UNAOUSEMA ULIANZA 1959.....1960...!!
KABLA YA HAPO WALIKUEPO WABELGIJI......NA KABLA YA WABELGIJI WALIKUEPO WAARABU WA TABORA NA UJIJI AKINA RUMALISA NA AKINA SEIF NA AKINA TIP TIP NA WENGINE WENGIII......NA WOOTE HAO WALICHOCHEA ZAIDI TABIA YA MAKABILA YA MASHARIKI MWA CONGO KUBAGUANA.
 
Hakuna sababu. Nikuulize swali hivi wamasai wa kwenya na wamasai wa Tanzania inawezekanaje nchi moja ikatae na kusema siyo raia? Kwa sababu ya mipaka ya nchi? Nani alichagua kuwa mmasai wa Kenya na nani alichagua kuwa masai wa Tanzania?
UBAGUZI HAUNA SABABU...BALI UBAGUZI NI UGONJWA WA AKILI.....NA SABABU KUBWA WATAKUAMBIA KUA....TUNAONGEA LUGHA TOFAUTI BADI WACHA TUBAGUANE............KULE MASHARIKI MWA KONGO KARIBIA MAKABILA YOOTE YANABAGUANA.
 
Unajua wanyarwanda hasa watusi ni watu wanaojali sana uasili wao hivyo Kwa jamii nyingine inawaona kama Wana ubaguzi but sio wote ubaguzi uko kila Mahali nimekaa na watu wengi Toka Rwanda nimewafundisha na wengine ni marafiki zangu hadi sasa hivyo nawaelewa Hawa ndugu zetu.
 
Bro tofauti nyingine hii hapa........sisi wabantu mtu akikuchukia utajua siku hyohyo au siku chache za usoni(kwahy ukishajua utaona n namna vipi mmalize tofauti zenu au umuepuke maisha yaendelee)...... Ila Hawa wenzetu unaweza kaa nae 2 yrs anakuchekea kumbe unataftiwa timing uuwawe!!!
Ndo maana watu wanawaogopa, mtu ambaye akichukia haoneshi n bora ukaish na Simba ndani!!!
Maana akiamua kukuua n asubuhi tu majirani tunakunywa uji

Huku kwaya kwa saut ya chini zinaendelea kuimba polepole🚢🚢
 
Wewe ndio msemaji wake, maana kwenye ile maada yakuachana na my wake The body πŸ˜… nilikuona unacheka sana
🀣🀣🀣🀣 Mbona mle wengi walikuwa wanacheka!! Kwanza hata sikumbuki nilikuwa nacheka na nini??
 
Hawa madogo wa vyuo wanajifanya wajuaji...,......mm 1998 umri wangu ni kijana mdogo ila nipo kisangani natafuta ugali.......ipo siku nitaadithia kwenye nyuzi zangu mkuu.
mkuu wasamehe bure wadogo zako nadhani wamejuta kujidai wajuaji kumbe wanasoma vijarida [emoji16][emoji16][emoji28][emoji23]
 
Mambo mengi.......nipo Kivu kusini right now.....huku kumewaka sio kitoto
Ahaaa kama upo South Kivu, hebu fika pale Kavumu, Utakuta vifaa vya kijeshi vya SADC Vimerundikana, unajua vimetoka wapi? hivi ndio vilikuwa pale Goma. Sasa sijui ndio re-Org, au ndio tactical withdraw kama wanavyo sema wenyeweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜œ. Daa mambo sio mchezo kimewaka moto na hata vikosi vya SADC havionekani tena ndani ya Goma, ule mkwala walioingia nao sijui umekwenda wapi maana tangia wafike hawajaweza kuwarudisha hawa M23 hata km chache tu, sana sana ni kuchanja mbuga kila wanapo kutana na hawa vijana wa Gen. Sultan MAKENGA.
 
Hii ndi ndoto. Tangu 2000 hadi leo RDF RPA, RDC CNDP na matawi yake yote hawajawahi kuwa na upper hand mbele ya SADC.

Kuna msema kuwa kamanda wenye akili hushinda vita bila kupogana. Hadi sasa M23 na shina lake RDF wamepoteza vita ya diplomasia hii ni hatua ya kwanza katika kushindwa vita ya ardhini.

Sasa wamebaki kuteka vijiji na mapori. Naona SADC na FARDC haziwafuati huko nadhani ni strategy ya kurefusha supply line ya RDF angalau ifike KM 200 na ukiikata unapata kuteka ama kuuwa RDF-M23 kama 2000 mbili hivi. Hapo wataelewa nani kaka.

Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
 
Utamaliza utamu japo umeandika kwa hisia ila hisia zako zitaharibu utamu.
 
Lakini hebu jiulize, SADC wako wapi? Mbona kimyaaa? Fuatilia kwa makini mambo sio mazuri. Sasa hivi ni Diplomasia inafanya kazi kwani mbu katua kwenye korodani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…