Tukizungumzia amani moja kwa moja tunazungumzia uhuru wa wananchi na nchi kwa ujumla tunaona Rais Samia Suluhu amerejesha amani Tundu Lissu leo amewasili nchini baada ya kuhakikishiwa ulinzi na usalama.
Baada ya kutua nchini, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amempongeza Rais Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia na kuwezesha vyama vya siasa kuendelea na shughuli zao za kikatiba, shughuli ambazo zilisimama kwa miaka saba.