Amani imetoweka moyoni mwangu, Co Worker wa kiume na mke wangu wapo karibu sana, nichukue uamuzi gani?

Amani imetoweka moyoni mwangu, Co Worker wa kiume na mke wangu wapo karibu sana, nichukue uamuzi gani?

Don't compete where you don't compare
Boss hawo ni wapenzi long time sema ni wanaendeleza mahaba yao achana nao kasikika mlevi mmoja huko nje
 
Ushauri wangu kata mawasiliano na huyo informer ndoa yako itatulia kama maji mtungini
 
Tafuta hela au nawewe tafuta mazoea nawadada wa ofisini uwe karibu nao kama alivyo yeye .
 
Wife anafanya kazi bar, kwa walevi na watumiaji na wala sina wasiwasi nae najua hanicheat.

Sasa wewe mfanyakazi mmoja tu ushaanza kuwehuka
 
Umeogopa kumuuliza mkeo unakuja huku
Au atakupiga? Ni wa Kusini ama
 
Back
Top Bottom