Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mama! Umesema yote! Kwenye haya maisha epuka sana kitu ambacho unahisi kitakukosesha amani!Ndoa yako inaongozwa na huyo informer wako mkuu, waza kwa sauti asingekuepo si ungekua na amani tu.....mimi kitu nimejifunza kwenye ndoa ni kukaa mbali na kitu chochote kitakachonikosesha amani ya moyo, bad enough mwenzangu aendelee kuenjoy mimi nikae nalia....nefa[emoji1787] nikiona simu kabla sijashika najiuliza hivi baada ya kupekua hii simu nani atalia..mimi au yeye?! Nikijua ni mimi naiacha mahala pake naendelea kunywa pepsi
Mwanangu ww ni ****ndu kinyama, yote hayo ni kwa sababu unahisi unachapiwa? Umedukua simu yake ukagundua hamna chochote unataka nn tena? Unamwekea mke wako spy kazini una akili kwel mura? Nakushauri tafuta kazi ya kufanya ili uache huu ujinga ulionao.Niwe mkimya niendelee kukusanya data nipate ushahidi huku nachohisi kikiendelea kikishamiri ? Nimwambie mke wangu kwamba akae mbali na huyo co worker ? Nimwachishe kazi ? Niende kum confront huyo mwenzake ? Nikubaliane na hali nikaushe ? Niachane na mke ? Niwashirikishe ndugu wa mke wanisaidie,,,,,,,,
Kweli kabisa ila tatizo ni kwamba info's zake anamtegemea mtu hajathibitisha yeye mwenyewe, binafsi naona alifuatilie hilo swala yeye kama yeye au hata kama anamtegemea mtu ampe taarifa ampatie ushahidi usio na mashaka Kisha sasa akae chini na mke wake aongee naye vizuuuur kama hatobadilika sioni umuhimu wa kuendelea kuwa pamoja aachane naye tu .Suluhisho ni kuachana na mwanamke kama una ushahidi wa wazi wa usaliti.
Mwanaume ama huyo co worker huna sababu ya kugombana nae kwa sababu hajambaka mke wako, amemtongoza na mkeo akakubali.
Ukikorofishana na huyo, atakuja co worker mwingine atamtafuna.
Deal with the source.
Kwahiyo wewe ni mzee wa NO STRING ATTACHED au vepe?😄Mapenzi yanawaumiza sana, mm nlishanyanyua mikono juu mapenzi siyawezi aisee
Isikutoe kwenye reli waache kama walivo wakichokana wataachana usipozingatia hili utakosa kilakitu hapa duniani na utaishia kuchizikaCo-worker ni mtu mnaefanya nae kazi
Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife.
Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa close sana na mke wangu, details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza na huyo mwengine akiwa wa tatu.
tukiwa nyumbani sijawai kuona yupo bizi anachat na huyo jamaa ama simu zinaita anazokata ama kuongelea nje, nadhani bila mpelelezi wangu nisingejua chochote.
Huko kazini wamekuwa team hupenda kuongozana wao wawili kufatilia ishu za benki, manunuzi, kufatilia wateja wa shirikika, kwenda lunch, n.k. huwa wanatumia gari ya jamaa. hili niliwahi kulihakikisha mwenyewe mara mbili.
Kuna siku nilichukua simu yake kimya kimya nikasechi namba ya huyo jamaa niliyopewa na informer, Huwezi amini mara ya mwisho kwenye meseji za kawaida na whatsaoo lakini nilitahamaki chats zao ni chache sana na chats za mwisho zina wiki na ni mambo ya kikazi tu, nikasechi sechi jina la huyo cowrker na message zingine hata alizosevu majina ya ndugu ila sikuambulia kitu, Napata mashaka zaidi maana haiwezekani mtu uwe nae karibu msiwasiliane, Nahisi mke wangu ana simu ya pili ama kanizidi ujanja wa teknolojia kuficha mawasiliano maana anajua naijua password yake,
Najua fika kwa jinsi tulivyo wanaume hapo kuna mambo ya ziada yanaendelea.
Niwe mkimya niendelee kukusanya data nipate ushahidi huku nachohisi kikiendelea kikishamiri ? Nimwambie mke wangu kwamba akae mbali na huyo co worker ? Nimwachishe kazi ? Niende kum confront huyo mwenzake ? Nikubaliane na hali nikaushe ? Niachane na mke ? Niwashirikishe ndugu wa mke wanisaidie,,,,,,,,,,,,,,
NICHUKUE UAMUZI GANI WENYE HEKIMA NA BUSARA?
Acha mawazo maovu, kuna watu wa jinsi tofauti wako so close lakini hawana mahusiano unayowaza.Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi

Mimi huwa siwaelewi wakulungwa wanaokuja kuomba ushauri huku kuhusu wenza wao humu ndani.Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi

Blaza Pole Sna..Ila Kifupi Hiyo Game Washamaliza Kitambo..Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi

Kama Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Jacob Zuma ambaye alipokuwa Rais alikuwa na Ulinzi mkali pamoja na Mke wake ila alikuja Kugundua kuwa alikuwa Akitombewa / Akibanduliwa Mkewe huyo.
Wewe Kapuku Mmoja tu kama Mimi GENTAMYCINE usiye na mbele wala nyuma Shemeji yetu ( Mkeo ) ni nani au ni kwanini Wajuba / Wahuni wasimbandue?
Tunamtaka mke/hawara/demu wako tupite nayeKama Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Jacob Zuma ambaye alipokuwa Rais alikuwa na Ulinzi mkali pamoja na Mke wake ila alikuja Kugundua kuwa alikuwa Akitombewa / Akibanduliwa Mkewe huyo.
Wewe Kapuku Mmoja tu kama Mimi GENTAMYCINE usiye na mbele wala nyuma Shemeji yetu ( Mkeo ) ni nani au ni kwanini Wajuba / Wahuni wasimbandue?
Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi
Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife.
Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa close sana na mke wangu, details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza na huyo mwengine akiwa wa tatu.
tukiwa nyumbani sijawai kuona yupo bizi anachat na huyo jamaa ama simu zinaita anazokata ama kuongelea nje, nadhani bila mpelelezi wangu nisingejua chochote.
Huko kazini wamekuwa team hupenda kuongozana wao wawili kufatilia ishu za benki, manunuzi, kufatilia wateja wa shirikika, kwenda lunch, n.k. huwa wanatumia gari ya jamaa. hili niliwahi kulihakikisha mwenyewe mara mbili.
Kuna siku nilichukua simu yake kimya kimya nikasechi namba ya huyo jamaa niliyopewa na informer, Huwezi amini mara ya mwisho kwenye meseji za kawaida na whatsaoo lakini nilitahamaki chats zao ni chache sana na chats za mwisho zina wiki na ni mambo ya kikazi tu, nikasechi sechi jina la huyo cowrker na message zingine hata alizosevu majina ya ndugu ila sikuambulia kitu, Napata mashaka zaidi maana haiwezekani mtu uwe nae karibu msiwasiliane, Nahisi mke wangu ana simu ya pili ama kanizidi ujanja wa teknolojia kuficha mawasiliano maana anajua naijua password yake,
Najua fika kwa jinsi tulivyo wanaume hapo kuna mambo ya ziada yanaendelea.
Niwe mkimya niendelee kukusanya data nipate ushahidi huku nachohisi kikiendelea kikishamiri ? Nimwambie mke wangu kwamba akae mbali na huyo co worker ? Nimwachishe kazi ? Niende kum confront huyo mwenzake ? Nikubaliane na hali nikaushe ? Niachane na mke ? Niwashirikishe ndugu wa mke wanisaidie,,,,,,,,,,,,,,
NICHUKUE UAMUZI GANI WENYE HEKIMA NA BUSARA?
Mambo ni mengi 🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu acha mimi nikuibie siri. Ukiona huyo mke wako na huyo mfanyakazi mwenzake haupati mawasiliano yao, usikae kizembe fuatilia mawasiliano ya mke wako na huyo private investigator wako (informer).
Utakuta huyo informer wako ndio anakuibia mke halafu anakupa info tofauti kukupotezea muda kufuatilia kitu ambacho sicho wakati huo wao wana enjoy