Uchaguzi 2020 Amani na Haki uchaguzi mkuu 2020

Big Eagle

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2020
Posts
592
Reaction score
625
Swala la Amani uenda sambamba na Haki, katika uchaguzi huu swala la Amani linazungumzwa sana na viongozi wa kisiasa, viongozi wa ulinzi na usalama na viongozi wa kidini kila mahala lakini sisikii wakisisitiza haki.

Haki na Amani viubiriwe kote...
 
Wakitaka amani iwepo watende haki lakini wanachokiona viongozi wote ni wanafiki wa kutupa , Hivi unaanzisha jeshi la akiba unataka nini au unalenga kitu gani? Hili li mama nalo eti Askari akilenga risasi tatu akamkosa mtu atawajibu ndio kuleta amani uko , CCM sio wazima upstairs. Ccm nawaambia amani kuipoteza kazi rahisi sana , kuja kurudisha sio rahisi
 
huenda alitaka kututhibitishia kuwa hao askari walipiga 32 wakafanikiwa 16 pekee......!!!😊
 
Amani inalindwa na haki wala siyo kwa mitutu, utekaji, na mateso.
 
Kuna ugum gani kuhimiza haki
Amani inahimizwa kwa maneno tofauti na HAKI inayohimizwa kwa matendo.

Tena Amani inahimizwa na mnufaika tofauti na HAKI inahimizwa na victims wa kutokuwepo kwa HAKI.
 
Swala la Amani uenda sambamba na Haki, katika uchaguzi huu swala la Amani linazungumzwa sana na viongozi wa kisiasa, viongozi wa ulinzi na usalama na viongozi wa kidini kila mahala lakini sisikii wakisisitiza haki.

Haki na Amani viubiriwe kote...
Naenda kupiga kura Nina betto kwapani kama mkurya wakizingua namsukumia MTU betto mavi yamshuke yaan tuna malizana kimya kimya manina hao jeshi LA akiba tukutane kwenye ballot afu walete mbwai saiz tumeamua tuna mtaka lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…