Amapiano kali zaidi kuwahi kutokea Bongo hii (Top 5)

Amapiano kali zaidi kuwahi kutokea Bongo hii (Top 5)

Nimejiridhisha na Kwa mafanikio hizi ndo nyimbo Tani Kali zaidi za amapiano kuwahi kutengenezwa TAnzania

1. Single Again - Harmonize
2. Mama Amina - Mario
3. Ticha- Harmonize
4. Shetani - Marimboso
5. Anajikosha - harmonize
Usingemweka Harmonenga hapo juu huu uzi ungekuwa batili
 
Nimejiridhisha na Kwa mafanikio hizi ndo nyimbo Tani Kali zaidi za amapiano kuwahi kutengenezwa TAnzania

1. Single Again - Harmonize
2. Mama Amina - Mario
3. Ticha- Harmonize
4. Shetani - Marimboso
5. Anajikosha - harmonize
hivi NAOGOPA ni muziki aina gani aisee, wengine tumezoea kusikiliza Country na Rock lkn hii ngoma toka niisikie bar mwaka jana haijawahi kuchuja masikioni mwangu
 
01. Fresh Diamond platinumz
02. Dear ex Marioo
03. Single again Harmonize
04. Kunjani Nady ft Shoma djozi
05. Anajikosha Harmonize

Bonus Shetani amepita Mbosso
 
01. Fresh Diamond platinumz
02. Dear ex Marioo
03. Single again Harmonize
04. Kunjani Nady ft Shoma djozi
05. Anajikosha Harmonize

Bonus Shetani amepita Mbosso
Fresh ni rap instrumental beat sio amapiano
 
Nimejiridhisha na Kwa mafanikio hizi ndo nyimbo Tani Kali zaidi za amapiano kuwahi kutengenezwa TAnzania

1. Single Again - Harmonize
2. Mama Amina - Mario
3. Ticha- Harmonize
4. Shetani - Marimboso
5. Anajikosha - harmonize
Sawa Harmonize...
 
Hiyo mchumba ya nandy ikinikuta nipo kitambaa cheupe nshapanda juu ya meza halafu naskia kwa spika nandy ananiuliza "mchumba unataka nini mchumba"....nnachomjibu huwa nakijua mwenyewe
 
Nimejiridhisha na Kwa mafanikio hizi ndo nyimbo Tani Kali zaidi za amapiano kuwahi kutengenezwa TAnzania

1. Single Again - Harmonize
2. Mama Amina - Mario
3. Ticha- Harmonize
4. Shetani - Marimboso
5. Anajikosha - harmonize
Sawa shabiki wa harmonize.
 
Back
Top Bottom