Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
-
- #21
Ni mwendo wa kutikisa ka kichwa tu kimbali unaweza ona duniani hakuna shida😄"Emathandweni" bonge moja la Amapiano aisee uwe unasafiri vioo juu ndani tulivu mziki laini. Aisee unaweza shangaa umefika safari yako bila kuchoka.
Daaah! kweli kabisa inaonekana wasouth mziki kwao ni sehemu ya maisha yao maana wanapiga vitu vya kweli na vyenye vibe haswaEbwana lile dude la uncle waffles linaitwa Tanzania..last week nilikuwa pale longstreet capetown mtaa wa mapopo hilo dude lilinikosha kwakweli tena msauz kaisifia nchi yangu,, from beerhouse to bobs bar to souk to coco yaani clubs kibao lilikuwa ni hilo dude tu. Ukweli ni kwamba amapiano OG ya sauz ni muziki unaotengenezwa na sound engineers most of producers and DJs in south africa ni sound engineers. Amapiano bongo ni makelele tu ya s2kz hayawezi kupigwa hata MTV maana mixing ni uchafu na nyie mnaokesha kidimbwi chungeni sana maskio yanu maana mnasikiliza uchafu nyimbo hazina quality ni kelele uzeeni mtakuwa viziwi muanze kusumbua. Ushauri wangu tusiige wenzetu hawafanyi amapiano kutafuta jina wasauz muziki ni part ya maisha yao kila kona ukipita utakuta kwaya zinaperfom mitaani au vijana wanatumbuiza mitaani kila kona utakuta watumbuizaji wenye vipaji mitaani tu sasa bongo watu wanatafuta kiki tu.
[emoji23][emoji23]Amapiano ya bongo ndio amapiano bora kuliko ya south
Amapiano ya bongo kinaimbwa k2 knaeleweka,wasouth n makelele tu. "Amajugujugu eee" ndo nn..?
Imebidi nitafute aisee ni bonge la dude!! Ndio nalisikilizia hapa kwenye home theater.Kuna amapiano moja ya Facalistic inaitwa "TOBETZA" Aiseeeee... Wabongo wangeendelea Tu na singeli piano waachie watoto wa Mandela.. South ndo kina piano
Mnike, Mnike, Mnike, Mnike, Mnike...[emoji444][emoji445]tafuta hizi ngoma
1)Mnike by tyler icu
2)Abomvelo by daliwonga
3)Depatje tsa felo by Daliwonga
ziko vizur sana quality sound za kwetu full makelele tu
Hiyo Ngoma sio poa unaweza kuisikiliza mwaka mzima usichoke [emoji16]Imebidi nitafute aisee ni bonge la dude!! Ndio nalisikilizia hapa kwenye home theater.
Hiyo Ngoma ya abomvelo ni shida tuseme Tu umepiga castle lite zako kadhaa zimeshika mishipa ya damu... Damn unaweza kumlaumu Adam kwann alikula tunda tukapewa adhabu ya kifotafuta hizi ngoma
1)Mnike by tyler icu
2)Abomvelo by daliwonga
3)Depatje tsa felo by Daliwonga
ziko vizur sana quality sound za kwetu full makelele tu
Boohle yupo vizuri sanaPenda sana smooth amapiano kutoka kwa Master KG,Lowsheen hapo awepo vocalist wa kike kama boohle ama nkosani girl. Hizo ngoma huwa dope
Pamojatafuta hizi ngoma
1)Mnike by tyler icu
2)Abomvelo by daliwonga
3)Depatje tsa felo by Daliwonga
ziko vizur sana quality sound za kwetu full makelele tu
Amapiano Ni Muziki Wa vibe Ujumbe HautakiwiAmapiano ya bongo ndio amapiano bora kuliko ya south
Amapiano ya bongo kinaimbwa k2 knaeleweka,wasouth n makelele tu. "Amajugujugu eee" ndo nn..?
kali sana hii"Emathandweni" bonge moja la Amapiano aisee uwe unasafiri vioo juu ndani tulivu mziki laini. Aisee unaweza shangaa umefika safari yako bila kuchoka.
daliwonga anajua sanaatafuta hizi ngoma
1)Mnike by tyler icu
2)Abomvelo by daliwonga
3)Depatje tsa felo by Daliwonga
ziko vizur sana quality sound za kwetu full makelele tu
Athi soba bonaEbwana lile dude la uncle waffles linaitwa Tanzania..last week nilikuwa pale longstreet capetown mtaa wa mapopo hilo dude lilinikosha kwakweli tena msauz kaisifia nchi yangu,, from beerhouse to bobs bar to souk to coco yaani clubs kibao lilikuwa ni hilo dude tu. Ukweli ni kwamba amapiano OG ya sauz ni muziki unaotengenezwa na sound engineers most of producers and DJs in south africa ni sound engineers. Amapiano bongo ni makelele tu ya s2kz hayawezi kupigwa hata MTV maana mixing ni uchafu na nyie mnaokesha kidimbwi chungeni sana maskio yanu maana mnasikiliza uchafu nyimbo hazina quality ni kelele uzeeni mtakuwa viziwi muanze kusumbua. Ushauri wangu tusiige wenzetu hawafanyi amapiano kutafuta jina wasauz muziki ni part ya maisha yao kila kona ukipita utakuta kwaya zinaperfom mitaani au vijana wanatumbuiza mitaani kila kona utakuta watumbuizaji wenye vipaji mitaani tu sasa bongo watu wanatafuta kiki tu.
🎼🎼Dada unataka pesa ( njoo uchukueeee)Wabongo amapiano zao wanapiga makelele halafu,back vocal wanaitikia😀😀full makelele ,