Amapiano waachiwe wa Afrika Kusini ndio wanaziweza Bongo na Naija wanapiga makelele tu!

Amapiano waachiwe wa Afrika Kusini ndio wanaziweza Bongo na Naija wanapiga makelele tu!

Hiyo Ngoma ya abomvelo ni shida tuseme Tu umepiga castle lite zako kadhaa zimeshika mishipa ya damu... Damn unaweza kumlaumu Adam kwann alikula tunda tukapewa adhabu ya kifo
🤣🤣🤣Hio ngoma uisklize kwenye sound ya kibabe. Ndio utaipenda
 
🎼🎼Dada unataka pesa ( njoo uchukueeee)
Pombe wameshazileta(njoo uchukueee)
Ama ganja za kunyetaa(njoo uchukueeee)
Ama unataka mmh (njoo univueee)

Choreeshaaaaa unanchoreeshaaaa
Nimekubamba kubamba umenchoreeshaaa
Oyaaa pombe sio sigaara
Yaan ni makelele tu hasa hayo ma backvocal 😂😂😂
😀😀😀
 
Mkuu ndo umenipoteza kabisa. Tapeli kivipi? Matapeli hawa ninaowajua au
Tapeli WA muziki pale hakuna talent ila kapata umaarufu kutokana na kujitofautisha Mionekano kwenye videos zake ,na fashion za mavazi za ajabu,iyo mbinu marekani ishazoeleka Kuna wazugaji wengi kwenye music industry wameingia ili kupata umaarufu na sio passion zao,ata wewe kama unataka umaarufu unaweza kuupata ndani ya mwaka tu jichore tattoo uso mzima😀😀Kisha paka marangi rangi nywele jifanye msanii media zitakupa umaarufu 😀😀ndo mbinu ya wazugaji wengi wanaitumia kwa bongo naona diamond platinumz ameivamia kwa kuvaa fashion za ajabu na kuoga Mionekano yakina Asake ni mradi azungumziwe😀😀
 
Tapeli WA muziki pale hakuna talent ila kapata umaarufu kutokana na kujitofautisha Mionekano kwenye videos zake ,na fashion za mavazi za ajabu,iyo mbinu marekani ishazoeleka Kuna wazugaji wengi kwenye music industry wameingia ili kupata umaarufu na sio passion zao,ata wewe kama unataka umaarufu unaweza kuupata ndani ya mwaka tu jichore tattoo uso mzima😀😀Kisha paka marangi rangi nywele jifanye msanii media zitakupa umaarufu 😀😀ndo mbinu ya wazugaji wengi wanaitumia kwa bongo naona diamond platinumz ameivamia kwa kuvaa fashion za ajabu na kuoga Mionekano yakina Asake ni mradi azungumziwe😀

Tapeli WA muziki pale hakuna talent ila kapata umaarufu kutokana na kujitofautisha Mionekano kwenye videos zake ,na fashion za mavazi za ajabu,iyo mbinu marekani ishazoeleka Kuna wazugaji wengi kwenye music industry wameingia ili kupata umaarufu na sio passion zao,ata wewe kama unataka umaarufu unaweza kuupata ndani ya mwaka tu jichore tattoo uso mzima😀😀Kisha paka marangi rangi nywele jifanye msanii media zitakupa umaarufu 😀😀ndo mbinu ya wazugaji wengi wanaitumia kwa bongo naona diamond platinumz ameivamia kwa kuvaa fashion za ajabu na kuoga Mionekano yakina Asake ni mradi azungumziwe😀😀
Unahitaji therapy mkuu. Kwamba, unataka kusema watu wanazingatia mwonekano wake na video kuliko audio zake. Asake ana sound ya kipekee sana. Hata ukisikia mziki wake kuna radha f'lani. Na aliyekuaminisha kwamba wasanii wote wenye mionekano tofauti hawako talented alizingua😁. Lil Wayne, Rick Ross, Post Malone na wengine wana talent kubwa regardless their physical
 
Uko sahihi nakubaliana na Wewe baadhi wapo poa sana ila wengi miyeyusho
 
Jazzi q ft Boohle-woza

Deep london ft Boohle- hamba wena

Focalistic ft Jazzi Q- gupta

Q Mark ft Tpzee- paris

Samthing soweto ft Dj Maphorisa, Kabza de small & Sasha-Akulaleki
 
Back
Top Bottom