King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ngwegwe mkono wa nyani. Kijana wetu janjaro atapona kweli
Labda kama YAWOU alikuwa anatumia MINJINGU vizuri Janjaro anaweza kusalimika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngwegwe mkono wa nyani. Kijana wetu janjaro atapona kweli
BInti mrembo sana.Inatia simanzi kuishia jelaYupo jela...
Babuu alikua na hela tena dolla tu!Irene alimpenda sana babu
Watoto wake wa kike walikuwa wazuri ☺️Babuu alikua na hela tena dolla tu!
Una maana gani ukisema “walikuwa”?Watoto wake wa kike walikuwa wazuri ☺️
Mambo mengine unaacha yapite! Ikibidi wamtoe aliyeko gerezani huko..😊Qmmk kimemraaaaamba.
Morine Liyumba yupo wapi?
Hakuwa anawala kivile, niliwahi kuwa meneja hoteli fulani alikua akileta dame, anampack hapo, anapotea hata mwezi, akija, analipa bill, na kuondoka, hata akiingia chumbani kwa dame, dakika kumi unamyona katoka, anawatoa hela za bia mbili tatu, anaenda zake,
Dame anakaa tena hata wiki tatu, hajaja,,
Yes...kabinti karembo sana kaleYule aliyedakwa na shehena ya sembe kule kusini?
-Kaveli-
Yes Mourine LiyumbaYule aliyedakwa na shehena ya sembe kule kusini?
-Kaveli-
kweli maandishi yanaishi na mitandao haisahau.Hi guys!
Yule fisadi wa BOT aliekuwa akigawa gari nyekundu kwa ma miss na madazetu na kufanya wengine kuogopa hata kwenda kupima kutokanan na mawzo hivi jana alianguka akiwa kazini akisuburi kupangiwa nafasi nyingine...
Kwa wale wenye ndugu BOT mnaweza nyonya data zaidi tumwagie. Ninachofahamu alielekea hospital ya Aghakhan na baadae kuruhusiwa, kutokana na pressure na kisukari.
Mie "chichemi"
PoleHi guys!

HahahahaPdiddy... check your PMs..
Mwamba ametisha anatembeza ukuni kama hana akili nzuri.Liyumba mtoto mdogo kwa jamaa wa Equatorial Guinea
MmhLiyumba mtoto mdogo kwa jamaa wa Equatorial Guinea