Amazon wamelaumiwa kwa kuuza vidonge vya bikra feki

Amazon wamelaumiwa kwa kuuza vidonge vya bikra feki

Hata nguo za ndani (nafikiri umenipata vyema) zina elastic material lakini baada ya muda na kwa matumizi makubwa upwaya, aka, ulegea.
Mkuu, usifananishe elasticity ya vitu vingine na hicho kitu, Mungu fundi ujue hii lastic yake ni og [emoji3]
 
Kwa hyo mko comfortable kabxa?maana kuna wadau hapa wanadai ukioa mwanamke asie na hicho kifaa n kama umeoa mke wa mtu ss cjajua madai yqo ka n yq kwel au lah
Na hujaona ama kusikia wadau waliooa hao wasio na hivyo Vifaa na wanadai wanaishi vizuri tu?,we umeskia upande mmoja tu? Je unamaoni gani kuhusu hilo pia?
 
Back
Top Bottom