financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Mkuu, usifananishe elasticity ya vitu vingine na hicho kitu, Mungu fundi ujue hii lastic yake ni og [emoji3]Hata nguo za ndani (nafikiri umenipata vyema) zina elastic material lakini baada ya muda na kwa matumizi makubwa upwaya, aka, ulegea.