Ambacho Happiness Magese hakisemi kuhusu tatizo lake la uzazi


Una maanisha nn kwamba the so called "shangazi Cecilia" alikua akimuuza HM? Just open up! Ama alikua shangingi kurumbembe like Dida wa Mchops? Is it?
 
Endometriosis ni ugonjwa unaofanya mtu apate tabu kushika mimba,unakua diagnosed by heavy painful periods treatment kucontrol sio kutibu ndio kuna vidonge vya uzazi vinavyotoa hormone.

Dada wa watu amefunguka ili watu wasikae tu majumbani na kuvumilia watoke wawaone madaktari afu anatokea mbulula km huyu.
 
Sijaenda shule lakini am sure sio Mburula kiasi hicho mmh eti mojawapo ya mtu kutoshika mimba ni kufanya kinyume na maumbile....wonder shall never end oooohhh...Jf is never boring
 
Sijaenda shule lakini am sure sio Mburula kiasi hicho mmh eti mojawapo ya mtu kutoshika mimba ni kufanya kinyume na maumbile....wonder shall never end oooohhh...Jf is never boring

You just called me Mburula, and you are declaring your lack of education, and you expect wonders to end!!!
 

Mimi sikubaliani na wewe mkuu! Kinachokusukuma wewe ni hisia zaidi lakini mwenyewe anadai Ana tatizo ambalo halina uhusiano wowote na utoaji mimba, ivi hujui kwamba ukiwa na tatizo unaweza kulijua zaidi ya daktari?

Na nani amekuambia madaktari wanajua kila kitu? Haya mambo yenu ya kuhisi/kudhani hayana maana kabisa! Pamoja na tatizo lake lakini amekuwa na courage ya kulizungumzia Hilo tatizo ni moyo mkubwa sana, tumtie moyo na sio vinginevyo. Kudai Hilo tatizo madaktari wa muhimbili ndio wanaanza kujifunza hata sishangai hata kidogo ikiwa Tanzania nzima daktari wa upasuaji moyo wa watoto yupo bugando tu na alisoma Israel! Unashangaa nn mkuu?!

Taaluma ya udaktari ni pana sana na kuna maeneo mengi sisi bado tupo nyuma/hatujaanza kujifunza au hatuna wataalamu, nilishawahi kuumwa na madaktari wakawa wanadai Nina matatizo ya akili! Kila daktari walikuwa wanasema hivyo hivyo! Ila nafsi yangu ilikataa na hata symptoms zilikuwa ni nyingi mno! Na nilikuja kupona kabisa kwa msaada wa mtu ambaye hakuwa na hata taaluma ya udaktari! Muache tabia za kuhukumu na kuvunja watu moyo.
 

Watu wanapenda sana kuzusha mambo ambayo hawana hata ushahidi nayo ni kuhisi hisi na kudhani! Angeweza kujikalia tu bila kuzungumza chochote na maisha yake yakaenda ila ameona kuna wanawake wengine wengi tu watakuwa na tatizo Kama lake sasa ameamua kutoa elimu, mijitu inakuja na ujinga wa utoaji mimba na ufanyaji mapenzi kinyume cha maumbile! Miafrika ndivyo tulivyo hovyo sana.
 

Inatokea a thousand times mkuu, Mimi marehemu babu yangu mzaa mama alikufa na prostate cancer! Ni madaktari hao hao wa muhimbili walidai ni hernia! Walivyomfanyia upasuaji ni Kama walikuwa wamemwagia petrol kwenye moto wa gas, namkumbuka mpaka jina la daktari aliemfanyia upasuaji ni nshomile ingekuwa nchi za watu wengine unaweza kumshitaki.
 

Kwani mimi nimesema ametoa mimba? sana sana wewe utajuaje hilo ndio tatizo ndio chanzo pekee cha tatizo wakati yeye anasema kabla ya kugungulika alikuwa amekwishafanya operations nyingi sana? what if ni hizo operations ndio zimeleteleza hilo tatizo?

Na amesema amekuwa akipata mimba lakini zinaharibika, inamaana tatizo hilo ndio linasababisha miscarriage pia?
 

Mimi mwenyewe nimeishaugua na kupewa story nyingi sana na madaktari, wakati tatizo ni tofauti kabisa, japo hiyo haimaanishi madiktari wako wrong wakati wote.
 
Jestina, na zinc ni Mburula?
 
Last edited by a moderator:

Tatizo Hilo Lina complications nyingi sana mkuu, hizo sababu zote alizotoa zinasabishwa na Hilo tatizo, Hebu jisomee mwenyewe mkuu, unakataa hukusema alitoa mimba ila indirectly umetoa sababu kwamba utoaji mimba ni moja ya sababu kubwa ya uharibifu wa mimba.
 
Mimi mwenyewe nimeishaugua na kupewa story nyingi sana na madaktari, wakati tatizo ni tofauti kabisa, japo hiyo haimaanishi madiktari wako wrong wakati wote.

Sipingi wala sikusema madaktari wanakosea wakati wote ila wanakosea Mara nyingi tu na wanajua jinsi ya kukupotezea usijue makosa Yao unless you put a lot of pressure/effort ya kutaka kujua ukweli.
 
Hutakiwi kufanya mapenzi kabla ya ndoa ..sasa dawa za uzazi wa mpango za nini.
OK tutasema ndio hali ya sasa, ila ndio zinakuja na gharama zake.
Tusisahau utoaji wa mimba una mess kizazi pia
 
Mkuu Hutu jamaa ni mgumu kuelewa zaidi anatumia hisia as if wewe ume conclude. Kuwa tatizo ni kutoa mimba and not otherwise!!!!!"
 
Mkuu Hutu jamaa ni mgumu kuelewa zaidi anatumia hisia as if wewe ume conclude. Kuwa tatizo ni kutoa mimba and not otherwise!!!!!"

Amesema wadada wanakubali utoaji mimba ndio sababu kubwa ya kuharibika kwa mimba! Wewe unatafsiri vp kauli yake? Amekataa kusema moja kwa moja ni indirect statement, kwahiyo alichokuwa anachokizungumzia muathirika ni uongo kwa maana nyingine! Mnataka atoe sababu ambayo ipo kwenye vichwa vyenu.
 

Wewe acha kuchezea akili zetu lengo lako liko wazi kabisa na umekutana na akili kubwa sasa unatafuta mlango wa kutokea.
 
Wewe acha kuchezea akili zetu lengo lako liko wazi kabisa na umekutana na akili kubwa sasa unatafuta mlango wa kutokea.

Nitoke kwenda wapi Matola, point yangu ni kwamba kwa nini hawakuzungumzia madhara ya utoaji mimba kwenye kizazi mwanzo mpaka mwisho wa kipindi? au kuuliza hivyo ni kusema kwa nini hakusema alitoa mimba huko nyuma? Ni nimeuliza kama ni bahati mbaya au makusudi? au wewe hujui kama hiyo ni moja ya sababu kubwa sana?

so unataka tuache kuhoji ili dada zetu waendelee kutoa mimba huku monitor development za huo ugonjwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…