Sijui kwanini kati wa wanawake wasio weza pata watoto ninaowajua karibu wote ni wanaojiweza kimaisha siyo machokest.
Ivi watu maarufu wote inakuwaje madaktari wa muhimbili wanashindwa kuwatibu, mimi nmefindishwa kuhusu huo ugonjwa ni rare cases lakini naujua, iweje madaktari bigwa wa pale muhimbili washidwe kujua, kuna mwingine anasema walishidwa ku-diagnose fracture ambayo hata clinical officer ana doagnose
Mafua,Dengue, Ebola, HIV/AIDS, niendelee?Hakuna ugonjwa usiokuwa na tiba.
Mafua,Dengue, Ebola, HIV/AIDS, niendelee?
Hakuna ugonjwa usiokuwa na tiba.
Google endometriosis ( check spelling) ujifunze zaidi kuhusu ugonjwa huo
Hakuna ugonjwa usiokuwa na tiba.
Naona Kama unajichanganya mkuu! Kipindi kilikuwa sio cha kuzungumzia madhara ya utoaji mimba, alikuwa anazungumzia maradhi yake na kujaribu kuelimisha wanawake wengine,
unaposema kwann hakusema alitoa mimba? Unathibitisha kauli yangu mada yako ulishakuwa na msimamo wako kwamba tatizo lake lilisababishwa na utoaji mimba kitu ambacho ulikataa hukusema! Sasa nikuulize hiyo mimba aliotoa ilikuwa ya kwako?!!