Ambacho Happiness Magese hakisemi kuhusu tatizo lake la uzazi

Ambacho Happiness Magese hakisemi kuhusu tatizo lake la uzazi

Sijui kwanini kati wa wanawake wasio weza pata watoto ninaowajua karibu wote ni wanaojiweza kimaisha siyo machokest.

Inawezekana unakuwa related nao sana marichest na sio machokest ila wapo wengi tu masikini na sababu ni nyingi tu.
 
Ivi watu maarufu wote inakuwaje madaktari wa muhimbili wanashindwa kuwatibu, mimi nmefindishwa kuhusu huo ugonjwa ni rare cases lakini naujua, iweje madaktari bigwa wa pale muhimbili washidwe kujua, kuna mwingine anasema walishidwa ku-diagnose fracture ambayo hata clinical officer ana doagnose

Shida wengi hawapendi kuwaambia madaktari wao historia ya ukweli ya afya zao... Husemi kama enzi zile ulipata ugonjwa wa zinaa, husemi kama umeshatoa mimba!! Unategemea nini?
 
Sangarara,

Huko ni kuingilia maisha binafsi ya watu. ...
 
Last edited by a moderator:
Google endometriosis ( check spelling) ujifunze zaidi kuhusu ugonjwa huo

Kama ni endometriosis huyo happiness Magesa hana adabu na aache stress zake zisizokuwa na tija kuwakashifu madaktari wa muhimbili kuwa ndiyo wanajifunza.
Assumptions zingine hovyo kabisa.
 
Nyie mnaoshupalia eti endometriosis inasababishwa na utoaji mimba, mara magonjwa ya zinaa ndo mnaowafanya mabinti na wanawake wenye tatizo hilo waogope kusema na matokeo yake wanabaki kuugulia tu siku wakija kugutuka na mambo yanakuwa yameshaharibika zaidi!!

Haipendezi hata kidogo kushadadia kitu usokuwa na uelewa nacho wa kutosha. Ni bora ukatafuta info za kutosha ila sio kulazimisha kile unachokihisi wewe eti ndio kiwe cha ukweli. Endometriosis ipo kiuhalisia na bado haijajulikana exact cause yake na haina uhusiano na kutoa mimba.

Mind you guys.....teenagers are not too young to have endometriosis. Ukiona mwanao, dada yako, ndugu au mwanajamii mwenzio ana dalili za endometriosis ni vyema ukamshauri akamuone daktari kabla hali haijawa mbaya zaidi kuliko kumnyanyapaa na imani zenu zisizokuwa na ukweli.

Millen Magesse ni mmoja kati ya wanawake ambao wamekuja kujigundua wana tatizo la endometriosis wakiwa tayari imeshawaathiri kwa kiasi kikubwa. Endometriosis pia inaaffect ovaries na infertility ni moja kati ya matokeo ya endometriosis japo sio lazima kwa wagonjwa wote.

Asanteni sana Jestina na sokwe kama kuna mtu hajawaelewa ama anabisha na aendelee kubisha. Siku watu wengi hususani wagonjwa wakiwa aware na kuingea juu ya hii hali ndo watakapo ujua ukweli!
 
Last edited by a moderator:
Naona Kama unajichanganya mkuu! Kipindi kilikuwa sio cha kuzungumzia madhara ya utoaji mimba, alikuwa anazungumzia maradhi yake na kujaribu kuelimisha wanawake wengine,

unaposema kwann hakusema alitoa mimba? Unathibitisha kauli yangu mada yako ulishakuwa na msimamo wako kwamba tatizo lake lilisababishwa na utoaji mimba kitu ambacho ulikataa hukusema! Sasa nikuulize hiyo mimba aliotoa ilikuwa ya kwako?!!

Eti ilikua ya kwako hahahaha ila watanzania tunapenda kuhukumu na kama tatizo lake limesababishwa na kutoa mimba wala asingeelimisha watu na kujitangaza jamani maana chanzo angekua anakijua kwa hiyo tuache viherehere na hashuo la kwapa kunuka bila kidonda hahahaaaa
 
Back
Top Bottom